Recent content by norbit

  1. norbit

    Mwigulu: Maveterani wa Vita vya Kagera kuanza kulipwa Pensheni zao

    CCM bhana!!, baadae watakwambia waliogmbania uhuru wote waende kujisajili ili waanze kulipwa viinua mgongo vyao :AYOOO::AYOOO:
  2. norbit

    Niulize chochote juu ya tiba za Mitishamba

    Kuna tiba yoyote ya VITILIGO ?
  3. norbit

    Ikigundulika Freeman Mbowe ndio yupo nyuma ya kesi zote na maovu yote dhidi ya CHADEMA itakuaje?

    Ifike mda mjifunze mlipokosea. mnaongea sana bila vitendo kumbebesha mtu mwengine lawama na kutojifunza ulipokosea haufiki popote. Kumbuka nsi
  4. norbit

    Kuhusu nafasi ya urais wa Tanzania 2030-2040 tayari CCM tunae kiongozi

    Weeeh, Ni Mama Sa100 mitano tena ya kuchaguliwa👌
  5. norbit

    Kumbe mitaani hakuna Biblia Wala Quran halisi!

    wewe upo na akili za nzi
  6. norbit

    Kumbe mitaani hakuna Biblia Wala Quran halisi!

    Wenye akili zao mbona wameshaelewa
  7. norbit

    Kumbe mitaani hakuna Biblia Wala Quran halisi!

    Ni kama vile mtu amebaini mke wake ni malaya halafu anataka atuaminishe kuwa wanawake wote ni malaya.😂😂😂
  8. norbit

    PostGE2025 Special Thread: Kauli Tata za Rais Samia katika hotuba zake

    Watu wanaogopa ICC wewe? ICC si atangulie Putin, Netanyahu etc
  9. norbit

    PostGE2025 Ridhiwani Kikwete: Nipo tayari kuhojiwa kuhusu tuhuma za Sheli za 'Lake Oil'. Wenye ushahidi waitwa

    Tunaijua hii, Unataka mashahidi wajitokeze muanze kuwapelekea wasiojulikana wawatoe rohoo_Oo_Oo_Oo_Oo_O
  10. norbit

    GE2025 Sheikh: Nawasomea dua Mange Kimambi na Recho na hamtowasikia wakimtukana tena Rais Samia

    Sheikh, Amani ipo na imedumu kwa zaidi ya miaka 60 lakini haki haijaonekana au inazidi kutokomea, sasa tujaribu upande mwengine, October 29 tuliamshe tuone haki itakuja au itazidi kutokomea. CCM tumewapa mda mrefu wa kubadilika lakini wameamua wasibalike, sasa ni jukumu letu kuwabadilsha, na...
  11. norbit

    Tetesi: Mange Kimambi adai Benki Kuu Tanzania (BoT) imechapisha pesa Makontena kwa Makontena (Money Printing)

    Hazina kumalizika au kuibiwa pesa zote ni tatizo dogo kuliko kumuamini ama kumsikiliza Mange. Yaani Mange awe ndio source of information na tukubali, hili ndio tatizo
Back
Top Bottom