Inasikitisha sana, sidhani kuwa kweli haya mambo ya kukamata kamata.... ndo' msingi wa shughuli za kiserikali kama taifa ili liendelee mbele, na kuwa nchi ya viwanda.... rather than hali tete ya chakula, maji, mikopo ya wanafunzi vyuo vikuu, pembejeo za wakulima, madai ya wafanyakazi etc.
Eeeeh?, hebu nijuzeni haya, hunda yalinipita kushoto:- Ni kweli kwenye rasimu mpya kuna pendekezo la kufuta cheo cha makamu wa rais pia waziri mkuu?, Mh. Pinda ameishi ikulu kwa muda gani, je kwa muda wote alokuwepo ikulu alikuwa akilima kweli?
Kama ndivyo ilivyo basi ameudhihirishia umma kuwa yeye si mzima kichwani, elimu yake na maisha ya jamii ni vitu viwili tofauti, uelewa wake juu ya siasa safi na demokrasia ya kweli ni ndogo sana, msadili na utu wa mwanadamu kwake hauna nafasi, ufisadi, nguvu na uonevu ndo tegemeo la viongozi wa...
Hivi kama Mwl. Nyerere asingejihusisha na siasa, ni lini tungepata uhuru wetu?, nina hakika tungeupata kwa kuchelewa sana kwani Kitila kuwa mjumbe ni dhambi?. Kuna haja ya kuzitazama upya kanuni, sheria, taratibu za watu kuwa mwanachama, sheria zetu nyingi zimezeeka, zimepitwa na wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.