Recent content by Norami

  1. Norami

    JamiiForums Tanzania Natafuta Ajira yeyote ya halali ya kuniingizia kipato

    Makumbusho
  2. Norami

    JamiiForums Tanzania Natafuta Ajira yeyote ya halali ya kuniingizia kipato

    Hope so
  3. Norami

    JamiiForums Tanzania Natafuta Ajira yeyote ya halali ya kuniingizia kipato

    Mawazo tu I will try to think positively labda naweza pata usingizi
  4. Norami

    JamiiForums Tanzania Natafuta Ajira yeyote ya halali ya kuniingizia kipato

    Amina na Asante
  5. Norami

    JamiiForums Tanzania Natafuta Ajira yeyote ya halali ya kuniingizia kipato

    Asante
  6. Norami

    JamiiForums Tanzania Natafuta Ajira yeyote ya halali ya kuniingizia kipato

    Dar
  7. Norami

    JamiiForums Tanzania Natafuta Ajira yeyote ya halali ya kuniingizia kipato

    Mimi ni binti wa miaka 26 kiwango changu cha elimu ni 4m 4 failure but I can speak good English and writing. I have work experience as receptionist, customer care service, secretary and waitress nimeshafanya kazi kwenye kampuni zaidi ya mbili. Mnamo mwaka 2017 -2018 nimefanya kama customer care...
  8. Norami

    JamiiForums Tanzania Leo kila mtu ataje sababu iliyomfanya akaachana na mpenzi wake wa zamani

    looo!mie nilimuacha alikuwa mbinafsi,mbishi kama nyama ya tako anapenda starehe balaa ila bahili mweeh!yupo tayar kukununulia pombe au kuonyesha umwamba wake mbele ya rafik zake lakin muombe hela yoyote jibu lake ni sina hela kwenye mechi kimoja chaliii analala kama ponooo halaf sifa zimemjaa...
  9. Norami

    JamiiForums Tanzania Stori ya kusisimua - Taxi

    asante sana bishop barikiwa kwa kazi nzuri..huu utamu wa simulizi hatari sana :rolleyes: :rolleyes: :rolleyes: kama vile wakati wa kiangazi jangwani ukapata pepsi ya baridi kale karadha murua utakachokapata ndo huu uzii sio wa mchezo mchezo
  10. Norami

    JamiiForums Tanzania Stori ya kusisimua - Taxi

    huba wake shunnie njoo basi utushushie mzgo mkuu maana arosto imeshaanza kupanda
  11. Norami

    JamiiForums Tanzania Stori ya kusisimua - Taxi

    😅 😅 😅 😅 o_Osawa
  12. Norami

    JamiiForums Tanzania Stori ya kusisimua - Taxi

    :rolleyes: :rolleyes: hya ufanye upesi basi mi utankuta hapa nakusubiri sawa eeeh;)
  13. Norami

    JamiiForums Tanzania Stori ya kusisimua - Taxi

    :rolleyes: :rolleyes: :rolleyes: 😁 huyu bishop mjanja sana sasa mkuu nakupa kazi mtafute shunie utuletee hapa tumbane mpaka bishop akuje😅😅
  14. Norami

    JamiiForums Tanzania Stori ya kusisimua - Taxi

    esiankiki njoo tumshawshi bishop aongeze mbili za nyiongeza maana mie arosto hata haijaisha bado :rolleyes: :rolleyes: :rolleyes: 😁
  15. Norami

    JamiiForums Tanzania Kumekuwa na hadithi na simulizi nyingi nzuri. Lakini hii inaweza ikawa nzuri zaidi. Inaitwa ULIMWENGU WA MATAJIRI

    Nipe nguvu hii hadithi itaendelea mpaka mwisho au unauz kitabuu tujue maana arosto sio nzuri kabsaa🤔
Back
Top Bottom