Nianze kwa kumshukuru Mungu kwa kuliona jina langu ila wito wangu kwa serikali naomba iwaangalie na wenzetu wengine ambao hawakubahatika kuona majina yao batch one wawapangie majina yao haraka ili kuwaondolea hofi
Samahani jamani... Nilikua naomba kuuliza hivi course ya Bachelor degree in Regional development planning...
Kwa wigo wa ajira sasa hivi ipo marketable au ndio kama sawa na Course ya Law?! Na, je hii course inagusa maeneo gani zaidi maana yake ndio course nilio pangiwa Chuo Cha IRDP mwanza...
Me nime apply mwez wa 8 mwaka huu ordinary diploma in Rail Transport na nimemalza kidato Cha 6 pia mwaka huu nikapata wastan wa division 2 ya point 11 asa najiulza kama wataweza kunichagua au laa ndugu yangu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.