Noordin Alhamidy
Member
- Jan 29, 2019
- 13
- 2
Samahani jamani... Nilikua naomba kuuliza hivi course ya Bachelor degree in Regional development planning...
Kwa wigo wa ajira sasa hivi ipo marketable au ndio kama sawa na Course ya Law?! Na, je hii course inagusa maeneo gani zaidi maana yake ndio course nilio pangiwa Chuo Cha IRDP mwanza campus... Nisaidieni jameni