Recent content by noony

  1. N

    JamiiForums Tanzania Mkopo unahitajika

    Habari zenu wakuu, Naomba kwa mwenye kuweza kunisaidia mkopo wa sh. 1.5M Nina tatizo kubwa nahitaji litatua...Mimi ni muajiriwa kwenye NGO naomba nitakua nalipa kila mwezi 10% tafadhali sana... Sina dhamana yoyote.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu HESLB, NACTE na TCU

    Habari naomba kujua kama sijaaply chuo hadi sasa kunaweza kuwa na third phase? Nimeshindwa maana AVN yang bado sijapata (nikipata supplementary) so nimeambiwa bado rusubiri
  3. N

    JamiiForums Tanzania Helsb Huwa wanafungua dirisha la maombi ya mkopo elimu ya juu baada ya kufungua kwa awamu ya kwanza?

    Habari zenu wakuu, naomba kuuliza hivi bodi wakishafunga dirisha la kuapply mkopo Huwa wanatoa nafasi nyingine ya kuapply? Maana mdogo angu Cheti chake cha kuzaliwa kilipotea na Rita wanamzungusha hadi leo na tuna siku kama moja au mbili tu zilizobaki..
  4. N

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Kwa waombaji wote wa mikopo kupitia HESLB 2018/2019

    Habari zenu wakuu, naomba kuuliza hivi bodi wakishafunga dirisha la kuapply mkopo Huwa wanatoa nafasi nyingine ya kuapply? Maana mdogo angu Cheti chake cha kuzaliwa kilipotea na Rita wanamzungusha hadi leo na tuna siku kama moja au mbili tu zilizobaki..
  5. N

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya biashara ya cookies/ biskuti homemade

    Habari za asubuhi wana jamvi. Niwape hongera kwa kuendelea kua hai mpaka dakika hii..Shukran ziende kwa Allah. Niende kwenye mada...nataka kuanza kutengeneza cookies kwa ajili ya biashara naomba wenye uzoefu katika hili wanipe abc 1. Vifaa gani muhimu vya kuanzia 2. Malighafi na bei zake 3...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Kama unampenda mtu kwa dhati usisite kumwambia mapema. Life is too short

    matango matango nyaaaanya
  7. N

    JamiiForums Tanzania Biashara ya uji

    Asante. Ntakutafuta
  8. N

    JamiiForums Tanzania Biashara ya uji

    Nitaanza kidogo kwanza asante kwa ushauri
  9. N

    JamiiForums Tanzania Biashara ya uji

    Asante
  10. N

    JamiiForums Tanzania Biashara ya uji

    Shukran
  11. N

    JamiiForums Tanzania Biashara ya uji

    Asante
  12. N

    JamiiForums Tanzania Biashara ya uji

    Habari za majukumu wanajamvi, matumaini yangu mnachukua taadhari dhidi ya janga hili la Corona. Niende moja kwa moja kwenye mada. Mimi ni binti miaka 25 nimemaliza chuo mwaka wa tatu sasa sijabahatika kupata ajira rasmi ila nnajishughulisha na shughuli za hapa na pale mradi mkono uende...
Back
Top Bottom