Mkopo unahitajika

noony

Member
Apr 6, 2018
65
52
Habari zenu wakuu,
Naomba kwa mwenye kuweza kunisaidia mkopo wa sh. 1.5M Nina tatizo kubwa nahitaji litatua...Mimi ni muajiriwa kwenye NGO naomba nitakua nalipa kila mwezi 10% tafadhali sana...

Sina dhamana yoyote.
 
Na unaamini utapata?
Ila sio mbaya kujaribu.
 
  • Thanks
Reactions: amu
Lete hati ya kiwanja yenye jina lako upate mkopo ila sio kirahisi hvyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom