Helsb Huwa wanafungua dirisha la maombi ya mkopo elimu ya juu baada ya kufungua kwa awamu ya kwanza?

noony

Member
Apr 6, 2018
65
52
Habari zenu wakuu, naomba kuuliza hivi bodi wakishafunga dirisha la kuapply mkopo Huwa wanatoa nafasi nyingine ya kuapply? Maana mdogo angu Cheti chake cha kuzaliwa kilipotea na Rita wanamzungusha hadi leo na tuna siku kama moja au mbili tu zilizobaki..
 
Yah wanaongeza siku 10
 
PM me
 
Back
Top Bottom