Mkuu inabidi ufanye namna ufanye research zaidi tafuta materials za scholars wa Kikristo watakusaidia kufahamu Imani kiundani zaidi yaani utakuwa unasoma maandiko na context zake zilivyo unaweza kuanzia na hizi website 👇
http://shamounian.com/ (nenda kwenye menu pale utachagua unataka majibu ya...
Kwani Kuna watu ambao mpaka Leo wanaamini kuwa waarabu hawajawahi kufanya biashara ya utumwa ?
Kwani Kuna watu ambao mpaka Leo wanaamini wazungu hawajawahi kufanya biasha ya utumwa ?
Mbona it's simple vitu vingine huitaji hata kuwa genius kuvijuwa Sasa tupo kwenye ulimwengu ambao kila kitu...
Brother ulishawahi kusikia kitu kinaitwa PURPOSE au kwa kiswasili tunaita LENGO au DHUMUNI ?
Unajuwa pesa inaweza kuwa sadaka, nauli, ada, rushwa, hongo au mshahara, yaani inategemea tu, imetumika kwa LENGO Gani ?
Swala la mahari huenda wewe ukawa unalielewa tofauti na vile linavyopaswa...
Mambo ya Imani bora mlivyosema myaache maana mijadala yake Huwa ni mirefu especially inapotokea mjadala kati ya mtu mwenye Imani husika aliyefunzwa mambo ya Dini na kugraduate kwenye hizo issue na mtu/msela wa kitaa ambaye hana Imani na hajafunzwa kokote pale ila yeye anasoma maandiko na...
Halafu unapimaje ? Maana unaweza pata majibu tofauti tofauti kutokana na upimaji wako. Wakati mwingine hizi rocord za kitaalamu Huwa zinatumia bone pressed na wakati mwingine non bone pressed, ila mara nyingi kitaalamu wanatumia bone pressed ambayo ruler inakuwa...
Mazoezi ni MUHIMU kwa afya, I second you on that👍, but hizi mambo za kuunganisha Dini na mambo fulani na kuonekana ni Bora nadhani yamekuwa mengi humu JF inamaana vijana ndo hawawezi kufikiri kabisa.
Mara mwingine karopoka ukila nguruwe ni hatari kiafya, what about Babu zetu walio kuwa wakila...
Watu wengi wako sawa tu SEMA tofauti ni upimaji mtu anajipima anavyojiskia yeye then anajicomfort kuwa yupo juu pasipo kujali kuwa aina tofauti za upimaji zitatoa matokeo tofauti. And off course sio kila She anapenda madude makubwa it's all in guys' imagination.
"In the name of fantasy...
In JF, there are so many stories like this. What if the guy just fabricated the story, by just sending txts to himself coz Ako na two phones, then y'all wasting ya time kuumiza kichwa kutoa ushauri kwenye kitu ambacho hakipo ? It is very possible kwa hata jamaa mwenyewe Dini hajabadilisha but...
Sure mkuu, people should keep in their minds kwamba mwanamke ni rahisi kuongeza ukubwa wa maumbile to a certain limit ukicompare na mwanaume. Hivyo ni vizuri MTu kujijengea tabia ya kujiamini na. Kuishi kwenye Uhalisia sio hizi fantasy za mitandaoni
Okay, inshort Iko Hivi, inawezekana ukawa uko sahihi Lakini mpaka Sasa as we speak HAKUNA BINADAMU YEYOTE AMBAYE AMESHAWAHI THIBITIKA KUWA NA 12 INCHES PENIS INAYOSIMAMA NA KUFANYA KAZI, na kama yupo bhas ndo huyo ulomuona wewe (maybe Kuna wengine) Lakini kwa wale ambao wameshaonekana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.