Mtu aliyeanzisha hii thread amekusudia kudhihaki dini anayotofautiana nayo. Kwa wale wenye nia ya kuelewa na kuepuka ujinga wa kubishana kishaabiki, hili suala la biashara ya utumwa halikuanzishwa na dini ya kiislam wala kikristo. Watumwa walikuwepo kabla ya uislam au ukiristo. Suala hapa ni kuchunguza misaafu, hadithi, sira na matendo ya waasisi wa hizo dini kuona kama wao binafsi walijihusisha na utumwa au la. Ukichunguza utagundua kuwa mtume mohamed alimiliki watumwa na Wafuasi wake walimiliki watumwa vilevile. Ukiangalia declaration ya kukomesha utumwa duniani, baadhi ya nchi za kiislam hazija -ractify hilo azimio, saudi arabia imefanya hivyo miaka ya hivi karibuni. Kwa upande wa wakiristo, Yesu hakumiliki watumwa, kati ya wanafunzi wake 12 hakuna hata mmoja aliyemilki mtumwa, actually waliacha familia zao na kwenda nchi za mbali kuhubiri habari njema ya ufalme na wote waliuwawa na wapinga dini.
Modern slave trade iliyofanyika barani Afrika, ilikuwa na outlets mbili yaani magharibi na mashariki. Watumwa wengi walienda mashariki kuliko magharibi, lakini wengi waliokwenda mashariki walikufa au kuhanisiwa ili wasizaliane matokeo yake waliokwenda magharibi wengi walibahatika kuishi. Wengi wa watumwa waliokwenda magharibi walichukuliwa kutoka nchi za magharibi mwa afrika.
Watumwa wa afrika mashariki wengi walipelekwa uarabuni, hadi leo mwarabu anamwita mtu mweusi abdu au abdi yaani mtumwa. Walikuwa ni wengi kiasi cha kutishia stability ya serkali za kiarabu enzi hizo. Kwa ajili ya ukatili na mauaji waliyofanyiwa leo watu weusi hawapo wengi uarabuni kulinganisha na walioko amerika. Ndo maana watu wasio na ufahamu mpana wanadhani watumwa walipelekwa nchi za wazungu tu kwa vile ndiko kuliko weusi vizazi vya watumwa wengi.
​Islam is FAKE and BOGUS.Slavery za Kikiristu zinaitwa 'Human Trafficking' au forced labour !
Wanawafanyisha Ukahaba wanawake na kuwageuza jina 'Sex Workers'
'Kinga maovu kwa kutenda yaliyo mema zaidi. Sisi tunayajua wayasemayo (Makafiri kuuzushia Uislaam !)
Qur'an: 23:96.