hauko sahihi kiongozi waliotangazwa ni upande wa chama chca cuf pekee na sio upande wa ukawa. Ukawa bado hawajatangaza wagombea wao tunaelewa maelekezo yanayotolewa hata cuf walipofanya kura ya maoni majimbo ya ubongo na kawe kuna watu walilalamika ila chadema ilijibu kwamba cuf wako sahihi...
Mdee ni Mkaskazin kwanini achaguliwe Ubunge KAWE AU KAWE wapiga kura wote ni wa Kaskazini na Kwa Mnyika Jimbo la Ubungo vipi na VIPI Waziri WAKUU wa staafu kama LOWASA, SUMAYE, MSUYA, SOKOINE na kwanini Wabunge wa KASKAZINI wana umaarufu mkubwa kuliko wa kanda zingine Mfano OLESENDEKA, ANNE...
Dr. Slaa atazungumza kesho katika viwanja vya shule ya msingi Matarawe kuanzia mida ya saa nane mchana ikiwa ziara yake katika wilaya za Songea, Namtumbo, Mbinga na Mbamba bay.
NYOTE MNAKARIBISHWA!
Kwa hiyo wabunge hawatacahguliwa kwasababu hawatekelezi ahadi zao kwa wananchi au kwa kwa kuto mtetea zito kwa makosa yake. Du Tanzania kuendelea kazi sidhani kama kuna viongozi wanaweza kuiendeleza Tanzania hii kama unaowaongoza wana fikra hizi
hou ni uongo wa hali ya juu hamna sual kama hiloFuime na Mbogolo hwana mgogoro japokuwa kuna watu walikuwa wanasugest Fuime agombee ubunge kwa sababau Mbogoro kagopmbea mara3 na kaukosa huyo mfamaji alikuwa TLP kagombea sana kata ya mfaranyaki kabla ya kuhamia CDM hali ni shwari na watu wanaunga...
Hilo ndio tatizo la watanzania hatujikiti kwenye hoja tunaongea bla bla tu. Ukichokieleza mkuu kina hoja ngoja nichangie kwa upande wangu.
utendaji wa kazi ZITTO yuko juu zaidi ya Nchemba na si nchemba tu bali viongozi wengi ndani ya CCM na CHADEMA na vyama vingine pia, ila taizo la ZITTO lipo...
N[SIZE=4]enda kwenye mikutano yake WATU SHAZI lakini je ulijua kwamba DR.SLAA ndiye mgombea wa urais 2010 kama ulikuwa hujui basi hutajua nani mgombea urais 2015 omba uzima utashuhudia, usijipe stress mapema nashukuru kwakuwaandama kwa kuzani ni kikwazo kwa ccm kuchukua urais ndani ya CDM wapo...
Basi na wewe sio mzima kiakili kama ulikuwa kiongozi na unagawa kadi bila kuwa na kadi ya uanachama kwa maana unatumia resource zako kujenga nyumba isiyo yako ajabu sana inabidi MAGAMBA wae makini na wewe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.