Kama ni leseni ya kampuni uwe hivi
Tax clearance
Memorandum
Tin
Mkataba wa pango
Kitambulisho au namba ya nida
Barua ya utambulisho wa kampuni
Wakishakufungulia akaunti unaweza kupata leseni bila tatizo
Mm nimefanikiwa moja..lkn moja bado inasumbua kuleta control no ingawa tayari imeshakuwa approved.
Akaunti alinifungulia mtu wa manispaa mwezi wa 7 wakat naomba leseni nyingine na kila kitu alifanya yeye wakat huo
Juzi nimwingia mwenyewe kwny akaunti nikaomba lesenj nyingine mwenyewe
nataka kujua kama caretaker mmoja anaweza kukata leseni ya kampuni zaidi ya moja...kama inawezekana nafanyaje kuongeza kampuni nyingine kwny akaunti yangu?
Kama mpo maeneo ya sinza mnataka huduma ya fiber watafute jamaa wanaitwa Net solutions...mwezi unalipia 59k unapata unlimited internet ya 20mbs.
Mm natumia kwangu mwezi wa 5 huu frsh kbs
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.