Recent content by noick

  1. noick

    JamiiForums Tanzania Je una uhakika yale unayofunga na kuomba ndio GOD'S WILL aliyo nayo juu yako?

    Kuna sheria za ulimwengu, arafu kuna self awareness, hivyo ndivyo vinavyoaply kwenye maisha yetu, ulivyo ni matokeo ya kile unachokijua, bahati mbaya asili inatoa matokeo kulingana na sheria zake uwe unajua au hujui. Ila wengi wetu hatujijui tupo shaped na mazingira tuliyokulia, hivyo kufunga na...
  2. noick

    JamiiForums Tanzania Mungu ni Omnipresent, yuko ndani yako! Hivyo Nguvu zake za Kufanya Kila Kitu Unazo. Jifunze Jinsi ya Kuziamsha na Kuzitumia…

    Jagina uko ndani ya box na unatenda haki, kwa maana hutamki neno nje ya hizi dini mbili, umetisha sana Pia pascal anatoa reference ya ndani na nje ya box na kwa lugha nzuri na fikilishi Mmetisha sana wazee Mungu aendelee kuwaongezea maarifa
  3. noick

    JamiiForums Tanzania Je, uwepo wa Dini ni sababu ya Afrika kutokuendelea?

    Kikwazo cha Africa siyo dini, wala elimu, hivyo ni vichaka tu vya kufichia upumbavu wetu, tatizo kubwa ni ubinafsi na kutokujitambua, Mungu alivyomuumba mwanadamu alimpa akili, akili inazaa maarifa, sisi Africa hayo maarifa hatuyataki, kwa maana hatuzifikilishi akili zetu, na akitokea kiongozi...
  4. noick

    JamiiForums Tanzania Marekani hawezi kumiliki utajiri wa dunia nzima na Israel haiwezi kutawala mashariki ya kati yote

    Unaweza ukawa sahihi kiimani. Hakuna mtoaji zaidi ya Mungu mwenyewe. Na amejinasibu anampa amtakaye haijalishi kwa matendo yake. Kupitia andiko lako sidhani kama hiki kizazi kinaweza kushuhudia mmarekani akianguka kwa kuwa ameweza kutawala Dunia, ukizungumzia mashariki ya kati nchi zote unazoona...
  5. noick

    JamiiForums Tanzania Wazungu wote waje afrika bila chochote na sisi wa afrika twende na pesa zetu hata na vitu vyetu kwao ndani ya miaka mitano itakuwaje.

    Tungekuwa na tafiti kuhusu mazingira yetu tungekuwa mbali sana maana tungebuni vitu vingi vinavyotusaidia kupambana na changamoto mbalimbali.lakini sisi tunawategemea kwa kila kitu
  6. noick

    JamiiForums Tanzania Wazungu wote waje afrika bila chochote na sisi wa afrika twende na pesa zetu hata na vitu vyetu kwao ndani ya miaka mitano itakuwaje.

    Ndani ya mda mfupi tu watatuacha maana wao tayari wana maarifa ya kuunda kila kitu kinachowanufaisha..na Wana tafiti kibao zipo kwenye majalibio..sisi tutaenda huko bila taarifa zozote ni sawa na mtu akupe pesa bila kukufundisha namna ya kuitafuta au inakopatikana.
  7. noick

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya Kijasusi: Bado Ninaishi

    Ahsante Mkuu ,,,lini tena utarejea?
  8. noick

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya Kijasusi: Bado Ninaishi

    Oyaa endelea kutupa muendelezo basi..kama ulikuwa na mpango wa kuuza usingetuletea humu
  9. noick

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Vp mliopo kwenye group lake huyu Singanojr anaelewesha.. katuacha na sitofaham.
  10. noick

    JamiiForums Tanzania Paji la uso na siri ya jicho la tatu

    Ilitakiwa utoe na namna tunaweza kutumia njia mbadala na kuacha kutumia hzo dawa za meno.tutumie nn na je nn kifanyike kuongeza uwezo wa pinel grand
  11. noick

    JamiiForums Tanzania Nimetoka ukweni Kigoma, ila kama hii ndiyo aina ya wazee acha wabaki na watoto wao!

    Kaka pole sana kwa yaliyotokea Mimi nakushauri huyo mwanamke usimwache kaonyesha yuko upande wake ndo maana aling'ang'ania muondoke wote. alijua fika huwezi kurudi kwa namna mambo yalivyoenda. endelea kuishi naye na hiyo mahari punguza taratibu siyo lazima kumaliza, waweza kutoa m 1.5 na maisha...
  12. noick

    JamiiForums Tanzania Watu wenye akili wanaisha taratibu, Miaka ijayo nchi itakuwa na ombwe la wataalamu na watabaki wachekeshaji kama viongozi

    Mwana FA kaenda shule na ana akili nyingi ya mtaani tunawahitaji viongozi wengi kama mwana FA ambao wanaujua vzurii mtaa ni rahic kuunganisha jamii na serikali
  13. noick

    JamiiForums Tanzania Watu wenye akili wanaisha taratibu, Miaka ijayo nchi itakuwa na ombwe la wataalamu na watabaki wachekeshaji kama viongozi

    Elimu ya darasani imemkomboa vp mtanzania..mpka leo hii nchi ina shida ya umeme,maji,shule, hospital,barabara na umaskini wa kutupwa kwa watanzania.hyo elimu ingekuwa na msaada kama uongeavyo basi tungeshapata ufumbuzi wa hivi vita vinavyotukabili.Elimu yetu imetengeneza majizi ya kalamu...
  14. noick

    JamiiForums Tanzania Watu wenye akili wanaisha taratibu, Miaka ijayo nchi itakuwa na ombwe la wataalamu na watabaki wachekeshaji kama viongozi

    Kuna elimu ya darasani na elimu ya mtaani arafu kuna akili(thinking capacity) Hyo elimu ya darasani ndo imetufikisha hapa tulipo taifa halina dira ujanja ujanja kila sehemu mikataba mibovu kila sekta,sasa sielew mtazamo wako juu ya elimu. Huyo Mond ana akili nyingi sana ndo maana kafika hapo...
Back
Top Bottom