Recent content by NOI NOI

  1. NOI NOI

    JamiiForums Tanzania UN yaidhinisha ramani yenye Ukubwa halisi ya Afrika huku USA Wapinga.Tu Damp Dini, Elimu na mifumo Yao ya Utawala.

    Kuna nchi zitaonekana na mipaka ya hovyo sana,Uongozi unagitaji busara sana
  2. NOI NOI

    JamiiForums Tanzania Litwapasi waboreshewa Miundombinu ya Majisafi

    Ahsante,kwa maboresho ...Kazi Iendelee
  3. NOI NOI

    JamiiForums Tanzania RPC Mara: Ni kweli Mwanafunzi wa Form 6 amefariki muda mfupi baada ya kuadhibiwa shuleni, tunawahoji Walimu 6

    Sekta husika, Ni kweli ni adhabu ya viboko toka kwa walimu? Au nini?
  4. NOI NOI

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    100K naweza uziwa ?
  5. NOI NOI

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Niko Mara -Butiama 400K ,nasikilizwa ?
  6. NOI NOI

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Nikupe 400K
  7. NOI NOI

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Google Pixel 2 plain Au 2XL
  8. NOI NOI

    JamiiForums Tanzania Aibu Old Trafford, Bournemouth yaipiga Man. United 3-0

    Ifike hatua itoshe kusema Manchester United imekuwa ni mahali au kundi la watu /uongozi usiojua ni kina nani wanafurahi au kuhuzunika kwa matokeo ya namna yoyote aidha ushindi ,sarw au Kushindwa .Navumilia lakini inauma sana .
  9. NOI NOI

    JamiiForums Tanzania Nishati: Petroli yashuka kwa Tsh. 116, Dizeli Tsh. 148 Dar, Mafuta ya Taa yabaki palepale

    Kama ni hivyo mbona nauli tarehe 08.12.2023 inatangazwa rasmi kupanda kwa hali ya juu kuliko kipato cha mwananchi wa kawaida ambaye ndio anasafiri kila siku kutafuta mkate wa ka siku ???
  10. NOI NOI

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded TAKUKURU chunguzeni Halmashauri ya Mji wa Kibaha pananuka wizi kuhusu ardhi

    TUME YA UCHUNGUZI HILI NALO SI SAWA Naomba kutoa la moyoni na linahusu wengi sana 1.Kwanini OC (office consumable proper) ikishuka kwenda halimashauri inarudishwa ndani ya masaa 12 mpaka 24 ili hali taarifa hazijapakiwa kwenye mfumo ? -Hili limejitokeza kwa miezi 2 (mwezi wa 10 na 11) mfululizo...
  11. NOI NOI

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Picha ya bidhaa yako inaweza tushawishi ,tuma niione hiyo Oppo na Nothing
  12. NOI NOI

    JamiiForums Tanzania LATRA yatangaza ongezeko la nauli za Safari za Masafa Marefu na Mafupi kuanzia Desemba 8, 2023

    Picha unazoziona hapona bus kampuni ya HAPPY NATION (TAIFA LENYE FURAHA) T 508 EBS Kampuni hili ni waswahili na walaghai Kwanini Mnamo tarehe 30.10.2023 nimekata tiketi ya kutoka MOROGORO kwenda MUSOMA na wakakiri ya kwamba ndio mwisho wa Bus lao cha Ajabu nafika MWANZA mjini wanapaki bus lao...
  13. NOI NOI

    JamiiForums Tanzania LATRA yatangaza ongezeko la nauli za Safari za Masafa Marefu na Mafupi kuanzia Desemba 8, 2023

    Kila sehemu anatafuta pesa tu 1.nauli juu 2.anatoza mpaka mabango hata biashara changa ili hali ukiweka bango ana wewe 3.Mikopo toka nje ndio yeye Hivi hagundui anapigwa kila sehemu
Back
Top Bottom