Recent content by Noel wa ruben

  1. Noel wa ruben

    JamiiForums Tanzania Chongolo uwe na amani, uchunguzi utafanyika na utatendewa haki. Chama kitaonesha ukubwa wake

    Hadithi ya mahaba umeitunga vizur
  2. Noel wa ruben

    JamiiForums Tanzania Kichwa cha Treni SGR chaanza majaribio Kilomita 160 kwa Saa

    Bora iwe 200 kwa saaa
  3. Noel wa ruben

    JamiiForums Tanzania Hii hapa ndio Kauli Thabiti aliyotuachia Kamanda Alphonce Mawazo

    Na nyie was belgiji bwana
  4. Noel wa ruben

    JamiiForums Tanzania Mbona Serikali ipo kimya kuhusu Meli ya mizigo ya Tanzania ambayo imezama huko Iran?

    Tanzania hatuna meli labda wamiliki watoe maelezo
  5. Noel wa ruben

    JamiiForums Tanzania Kaa ukijua hamu ya kujamiiana kwa mwanamke ni mara tatu zaidi ya mwanaume

    Kama ww ni mwanaume pambana kumtafuta pesa popote duniani Ila siyo kukaa ndani kulinda kulinda k, k inanyanduliwa hata Kama upo sebleni watu wanazagamua uko palepale.
  6. Noel wa ruben

    JamiiForums Tanzania Congo DR ni sehemu ambayo hata shetani hujiuliza mara mbili kwenda

    Nataka kwenda huko ndugu .
  7. Noel wa ruben

    JamiiForums Tanzania NMB wamenivuruga usiku huu

    Kiukweli nimechukia Sana ukizingatia nilikua nauhitataji wa fedha, Sasa nimeshuka sehemu nikaamua niangalie salio ili nichukue fedha kwa ajili ya Mambo yangu kwa kutumia NMB mobile. Cha kushangaza naangalia salio na kutana na NMB APP wakati nilisha zoea kuangalia salio kwa njia ya kawaida Sasa...
  8. Noel wa ruben

    JamiiForums Tanzania Nani hasa ana utajiri mkubwa kati ya Joseph Kusaga DSM na Vicent Laswai Moshi? Nani Fogo

    Utajiri wa watu ukiujua ukusaidie nn? Au gahawa iko kazini
  9. Noel wa ruben

    JamiiForums Tanzania Walimu shuleni waongozwe na Walimu wenye Elimu kubwa zaidi ili kupunguza migogoro

    Kumbuka pia uongozi ni karama,unaweza kua na elimu kubwa ukawa 0 kwenye kuyatazama mambo na kuyatatua,mfano mdogo mtazame msukuma Kule bungeni ndo utaelewa.ukiwa kiongozi sehemu flan unakua pia ni mlezi was watu walio chino Yako.
  10. Noel wa ruben

    JamiiForums Tanzania Nani ungempendekeza awe Rais wa Tanzania?

    1.polepole 2.bashiru 3.mbowe
  11. Noel wa ruben

    JamiiForums Tanzania Anayeshtakiwa kumuua Mkewe asema Kichwa cha Mwanamke huyo kiliungua moto kirahisi sababu alikuwa anakigeuza

    Kama unaona mambo hayaendi sawa ndani ya ndoa achana na hiyo ndo kabla hujala ndoano.
  12. Noel wa ruben

    JamiiForums Tanzania Ni nini hatima ya maelfu ya hotel za kitalii zilizopo jiji la Arusha?

    Waliotufunga minyororo enzi hizo na tuliwafukuza kwa nguvu Sasa tumeanza kuwakabidhi nchi, Kuna miaka inakuja nchi za kiafrika itakushida hakutakua na ardhi ya kilimo, hakutakua kua na ufungaji, hakutakua na wachimbaji wadogo wazawa kma tunavyosikia tutakua vibarua, tutakua watazamaji Kama...
Back
Top Bottom