Poleni wana wa Mbeya, Mungu mkubwa kama hakuna maafa yaliyotokea, jamani damu ya binadamu si sawa na damu ya mnyama mwingine, wenye mamlaka waangalie hivi si viashiria vizuri kwa mstakabali wa nchi, watu wana shida na hawaoni mwanga wa matumaini.
Mhhh, kwa wale walioko Dar, kama kuna mtu aliona kipindi jana Mlimani TV kilikuwa kinaoongozwa na Ayoub Ryoba, alikuwepo Mzee Mkama, Katibu Mkuu CCM, namna alivyokuwa anaongea na kujibu maswali ya wasikilizaji ndiyo ungejua hali ni ngumu kuliko tunavyodhani. Mf. alijikanyaga kuhusu mradi wa...
Dr. Slaa hakuna haja ya kumpa pole kwa sasa bali kukumpongeza yeye na wenzake naanza kuona mbele ya safari kama mwanga utaonekana, safari ya haki lazima wachache wataumia kwa niaba ya wengine.
Dhuluma na uzalilishaji wanaofanyiwa viongozi wa CDM na upinzani kwa ujumla ni maandiko na alama...
Kwa taarifa tu hao waporaji siku wakiaanza huo uzalishaji tumekwisha kwani mbinu wanazotegemea kutumia kwenye uzalishaji ni mbinu ambazo zitatufanya wakulima wadogowadogo ambao ndiyo wengi watakuwa watumwa ndani ya nchi yao na hapo ndipo tutakapochinjana.
Mlioko huko mtujuze, hizo GMO ni mali ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.