Wanatafuta umaarufu wa kimataifa kwa kukaa uwanjani ili eti prince chalesi awaone | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanatafuta umaarufu wa kimataifa kwa kukaa uwanjani ili eti prince chalesi awaone

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pepombili, Nov 8, 2011.

 1. Pepombili

  Pepombili JF-Expert Member

  #1
  Nov 8, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 439
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  hii ya mwaka huu ni kali sana wamesikia prince anakuja arusha wakaamuwa kujiweka uwanjani eti wasikike maana jamaa alipewa dhamana akagoma kuichukuwa kumbe lengo lake lilikuwa abaki mahabusu ili wenziwe wakae uwanjani prince chalesi awaone kesho akienda arusha na kwa vile wao wako tayari kupokea ile kauli ya devidi kameruni ya kale kamchezo
   
 2. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #2
  Nov 8, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  masaburi
   
 3. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #3
  Nov 8, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,143
  Trophy Points: 280
  Huo ni ukweli usiopingika.
   
 4. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #4
  Nov 8, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,789
  Likes Received: 36,804
  Trophy Points: 280
  avoid the ignorant." (Qur'an 7:199)
   
 5. MwanaCBE

  MwanaCBE JF-Expert Member

  #5
  Nov 8, 2011
  Joined: Sep 23, 2009
  Messages: 1,773
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  Kun.du la Nape linak.unya.......
   
 6. Somji Juma

  Somji Juma Verified User

  #6
  Nov 8, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,496
  Likes Received: 2,034
  Trophy Points: 280

  masikini weeee..ndo uwezo wako wa mwisho wa kufkr huo au.?
   
 7. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #7
  Nov 8, 2011
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  @FaizaFoxy, : Dadangu, hata miie nimezaliwa na kulelewa ndani ya CCM. Nadhani tunahitaji mabadiliko. Sijui unafanya kazi serikalini, au wapi, Mie nafanya Private Sector, lakini baba yangu mzazi ni Waziri kwenye serikali ya Kikwete. Mama ni mtumishi wa serikali pia, lakini nakiri kwamba mabadiliko ni muhimu. Nimeondoka asubuhi na mapema kuja Arusha kujiunga na Wanaharakati na hali ambayo nimeikuta inasikitisha tamaa.

  Hebu fikiria tuliowapa madaraka wanavyojilimbikizia mali kwa wizi. Hebu tazama raia wa kawaida wanavyoonewa. Hali inatisha kwenye mahospitali, vyuo vikuu. Nchimbi katoa wapi utajiri wake, Loawassa, Chenge, Kikwete, Msekwa, Wakina Kinje Mwiru, Wakina Abdala kigoda listi ni ndefu. Watu wa EPA wanadunda mitaani, Richomnd hawajulikani. Dowans ni mapepo, TCRA, UDA listi ni ndefu aliyewajibishwa? Hakuna. liumba kaenda jela kwa sababu ya Demu siyo Ufisadi. Nchi gani hii Dada yangu? unachotetea ni nini? Ardhi inauzwa, rasilimali zetu zinachotwa, Rais ni kuzurura tu cha maana anachokifanyia taifa HAKUNA.

  Mahakama zetu hazina haki, polisi ni majambazi. Sasa tukimbilie wapi? siwezi kuiunga CCM mkono kwa maslahi ya familia yangu au Baba yangu. Ni heri tuishi maisha ya zamani ya umasikini badala ya kuishi kama watumwa. Sitaki nife leo na kuwaacha wanangu watumwa kwenye nchi yao. siwezi kamwe. Sijui unao watoto, ila kama unao, hebu niambie nchi watakayoishi bada ya miaka 10 CCM ikizidi kukaa madarakani ni nchi ya aina gani. Ukiwa na uwezo na nia, sidhani hata CCM ikiondoka utakosa kazi, lakini ukiwa mchafu, lazima utayaona mabadiliko kuwa machungu. Sijui hupo upande gani, nijuzi dadangu.

  Sijui wewe dada yangu au mdogo wangu ila hiyo haijalishi mimi ni (33) watoto wawili wakiume 7 na wakike 9 ambao naomba Mungu wakue na kusoma katika nchi yenye matumaini. Kwa sasa hata kama familia yangu ina uwezo wa kifedha, uwezo tulionao ni wa muda mfupi, kwani tumezungukwa na wengi masikini, kwa maana hiyo hakuna amani. Siwezi kuishi na kuitakasa CCM ni kuishi kitumwa. Na inaniuma sana kukuona kila mara ukishabikia CCM wakati unajua fika kwamba CCM inayumbisha nchi yetu. nilijifungua Aghakan, wewe sijui ulijifungua India lakini pia kumbuka mwanamke mwezio amejifungua kwenye sakafu Temeke.

  Siyo mshabiki wa CHADEMA ila hata kama mabadiliko yataletwa na chama kingine, mara 100 afadhali kuliko kubaki kwenye utawala wa CCM. Sitazami maslahi yangu, natazama Maslahi ya watoto wangu na vitukuu vyao. Samahani sana lakini huo ndio ukweli wa mambo, nadhani kwenye utetezi wako wa CCM fikiria ukweli wa mambo. Ukiniita muhasi, basi waasi watakuwa wengi sana ndani ya CCM. Kama vipi mjadala uendelee....
   
 8. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #8
  Nov 9, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Faiza hatakujibu. Yeye kwake CCM ni Kikwete. Akishaondoka Kikwete basi na yeye ataacha kuishabikia CCM.
   
 9. norbit

  norbit JF-Expert Member

  #9
  Nov 9, 2011
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 496
  Likes Received: 212
  Trophy Points: 60
  kama 10% tu ya wanachama wa cdm mnaongea hivi, 90% ya wa tz wangelikwisha amua ccm basi, lakini nyinyi dini.............udini....dini......
   
 10. m

  maselef JF-Expert Member

  #10
  Nov 9, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 255
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ni vema ukafikiri mbele ya pua yako
   
 11. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #11
  Nov 9, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Pepombili you are stupid. Wewe ndiye unayemwabudia huyo mtoto wa mwizi wa kike wa Uingereza. Kwani Charles akiwaona atawaongezea nini kama siyo mawazo yako mgando. Kumbaff sana.
   
 12. RGforever

  RGforever JF-Expert Member

  #12
  Nov 9, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 6,165
  Likes Received: 1,890
  Trophy Points: 280
  Mtoa mada: Unafikiria kiungo tofauti Na kichwa.
   
 13. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #13
  Nov 9, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Udini kauleta Kikwete. Na sasa kuna mavuvuzela wake akina Faiza hawana la kufanya ila kuvuvuzela tu.
   
 14. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #14
  Nov 9, 2011
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Nimeipenda hii dadaangu...
  'Ukombozi/haki huletewi kitandani inadaiwa'...Dr Slaa
   
 15. J

  Japhet Mosi JF-Expert Member

  #15
  Nov 9, 2011
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 207
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pepombili na Faizafoxy sipendi niwaite "MASABURI" ila nawaomba kama hamjasoma muingie darasani maana hamjachelewa na iwapo mna "degrees" basi hivyo vyuo mlivyograduate vina walakini mkubwa sana. Nawaomba watu wenye mawazo kama UHURU1 waongezeke humu jamvini ili wawasaidie wenzetu wenye akili mgando kama "PEPOMBILI na FAIZAFOXY". Ingekuwa enzi za Joseph Stalin adhabu yenu ni "GAS CHAMBER" wala hakuna trial kabisa. Asanteni. Naomba kuwasilisha.
   
 16. m

  makaptula Senior Member

  #16
  Nov 9, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 157
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Tutafika kweli kama watu wenyewe ndo vichwa mgando kama huyu jamaa?
   
 17. M

  Msharika JF-Expert Member

  #17
  Nov 9, 2011
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 936
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kumbe unapepo wawili? ndio maana ardguments zako zimepinda.
   
 18. A-town

  A-town JF-Expert Member

  #18
  Nov 9, 2011
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 498
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Kweli vilaza wengi, na wewe ni miongoni mwao,mchumia tumbo mkubwa,msaliti usie na mana,masaburi we
   
 19. N

  Noel Kwai Member

  #19
  Nov 9, 2011
  Joined: Apr 14, 2010
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Angalieni threads zingine ni za mashetani si lazima kuzitolea maoni mtapoteza uwezo wa kufikiri .
   
 20. Ngomo

  Ngomo Senior Member

  #20
  Nov 9, 2011
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 199
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  umenena kweli kabisa anaye kataa analake jambo
   
Loading...