Masaki
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 3,463
- 752
Ni aibu kusikia kwamba hata mtoto wa mkulima, Waziri Pinda anakula ufisadi wa wakina Iddi simba.
Wiki Iliyopita Waziri Mkuu alikuwa Iowa Marekani kukutana na Kampuni ya Cargil Energy ambao wananunua mamillion ya hekari Tanzania kwa ajili ya GMO.
Ili kuleta mabadiliko Tanzania, tunahitaji wapiganaji wakweli ambao wapo tayari kufa kwa ajili ya taifa lao kama,
Dr. Wilbroad Slaa 15
Generali ulimwengu 5
Dr. Harrison Mwakyembe 8
Johnson Mbwambo 5
John Mashaka 10
Zitto Kabwe 10
John Mnyika 10
Tindu Lissu 10
Alima Mdee 10
Ananilea Nkya 10
January Makamba 10
John Shibuda 10
Maggid Mjengwa 10
***************
Dr. Emanuel Nchimbi -0
Nape Nnauye -5
Makongolo Mahanga -0
Tanzania itaendelea na Itanyooka Tena mafisadi wa kifikra na kimaadili watatoweka.
Hata ningekuwa mimi ningeanza kuiba tu; kujifanya mtakatifu sana kwenye nchi hii unaishia kuwa masikini tu na watu wanakucheka. You only live once bwana!