Recent content by nodetz

  1. nodetz

    Natafuta marafiki waislamu

    Asant tunaweza kuwasilian whatsapp
  2. nodetz

    Natafuta marafiki waislamu

    Sawa asant ila namaanisha watu wa nje na hapa nilipo
  3. nodetz

    Natafuta marafiki waislamu

    Jitaidi ujifunze kwanz kabla haujaongea
  4. nodetz

    Natafuta marafiki waislamu

    Nakuja kaka
  5. nodetz

    Natafuta marafiki waislamu

    Duuh uko hapan
  6. nodetz

    Natafuta marafiki waislamu

    Wakubwa najua haiwahusu ila jana nimebadili dini rasimi na kua mwisilamu so nahisi naitaji marafiki wapya wanao elewa uislamu pls kama uko tiyali njoo inbox
  7. nodetz

    Tuelimishane kidogo kuhusu wadukuzi (Hackers)

    Asante ndugu nataman tungepata watu wengi kama ww hasa kwenye upande wa kurinda taarifa zetu mtandaoni maana jamii yetu haina elimu kabisa kuhusu usalama wa taarifa zao online
  8. nodetz

    Tuelimishane kidogo kuhusu wadukuzi (Hackers)

    Habari wana jm. Juzi katika pitapita zangu uko youtube nilikutana na video moja ya jaamaa anaitwa () ni mbongo mwenzetu alikua akielezea zofauti ya IT na cybersecurity ase niliumia sana🥲🥲. Kilicho niumiza zaidi ni upande wa comment ase pale ndo niligundua watu wanapenda sana kujua udukuzi ni...
  9. nodetz

    Kama ulikuwa hujui, Waisraeli wana haki ya kuichukua Gaza! Ushahidi huu hapa

    Haya ni matusi kwa mungu yaani kwamba raia wa palestna hawana haki ya kuishi. Sawa na ww mtoa mada mtu aje kwako alafu aseme hapa nyumbani kwako nimeoteshwa na mungu kuwa ni urithi wangu yaani atakama wewe ni mchungaji wa kanisa bado huwezi kukubali huo unabii wa kipuuzi.
  10. nodetz

    Mifano inayoweza kuleta maana pale unapo linganisha dunia na ulimwengu

    Mfano wangu wa kuilinganisha dunia na ulimwengu. Tuseme umebeba mzigo ambao unauzito wa ulimwengu wote halafu kwenye kutembea ukaidondosha dunia. Basi hauta hisi kama umepoteza chochote atakama utaenda kupima kwenye mzani wenye sensors za kisasa bado hauwezi kugungua tofauti yoyote kama...
  11. nodetz

    Je nikweli wanasayansi na wanahistoria wameshindwa kutambua ni teknolojia gani ilitumika kujenga pyramid (great pyramid of giza)

    Habari wana JF. Tumesikia theory nyingi kuhusu namna gani pyramid zilijengwa hasa naongerea zile wanaita great pyramid of giza Hizi Kuna wakati huwa naamini ata hicho kizazi kinachosemekana kimejenga hizo pyramid na wao pia walizikuta. Nashawishika kusema ivo maana hakuna maandishi yoyote...
  12. nodetz

    Je nikweli shetani ni kiumbe au roho yenye ubaya?

    Habari wana jf ANGALIZO. UZI HUU HAUUSIANI NA DINI KABISA. NI KWAAJILI YA WATU WANAOWEZA KUFIKIRI NA KUTAFAKARI MAMBO. Kila mtu amewai kusikia, kuona au ata kuhisi uwepo wa nguvu ya shetani. Je nikweli kwamba shetani yupo na anafanya kazi au ni mindset zetu zimekaa ivo. Kila jamii iliyowai...
Back
Top Bottom