Wakuu nawasalimu!
Tafadhali kama unajua duka (Dar es salaam ama Dodoma) ambalo naweza kununua hii mashine ya kuzibia chupa za mvinyo (wine) ambayo kwa Kiingereza wanaiita 'wine bottle corker machine' (pichani) naomba unifahamishe.
Nahitaji moja tu kwa ajili ya shughuli zangu nyumbani.
https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/udsm-wabuni-jiko-lisilotumia-umeme-gesi-mkaa-wala-kuni-3901258
Makamba (hope huwa unasoma hizi nyuzi) haya si ndiyo majiko ya kuayendeleza na kugawa kwa wananchi?
Wakuu,
Tafadhali kama unajua vifaa kwa ajili ya ku-graft miti michanga ya maembe/parachichi vinapatikana wapi hata nchini Tanzania basi fanya uungwana wa kunitaarifu.
Nimekuwa nikisoma/ kuangalia mtandaoni namna ya ku-graft nimeona kuwa ni kazi ninayoweza kuifanya mwenyewe na kupata miti...
Mkuu, sogea na town kidogo nikuuzie plot yangu ya kayenzi! maelezo yake yapo hapa chini
Eneo ilipo plot: Kayenzi (karibu kabisa na Kayenzi sekondari) - ukiingilia njia ya viwandani - eneo lipo baada ya kupita viwanda. Ni kilomita takribani 2.5 kutoka eneo la kihonda Magorofani.
Miundombinu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.