Recent content by No More Drama

  1. No More Drama

    Mechi ya Barcelona na Juventus leo Juni 5, 2015

    Duhhhh #barca timu yangu ila nilipofika banda umiza #feelings na #spirit za kiafrica zikanipanda nikaanza shabikia #juve ila yote #viscabarca
  2. No More Drama

    Mada maalumu: Mchakato Bodi ya Mikopo 2015/16 (Vigezo na ujazaji fomu)

    watu wamepiga simu wameditiwa acha kudanganya umati
  3. No More Drama

    kumbe bittoret ipo vizur

    kwa mwendo huu JF idumu kila siku najifunza kitu kipya
  4. No More Drama

    kumbe bittoret ipo vizur

    nimeelewa mkuu thanks
  5. No More Drama

    kumbe bittoret ipo vizur

    asante mkuu kwa maujanja hayo kwa eneo langu spidi ipo juu sana sasa hivi nitaexploit data ipasavyo
  6. No More Drama

    kumbe bittoret ipo vizur

    af mkuu naomba kujua maana ya leecher na seeder
  7. No More Drama

    kumbe bittoret ipo vizur

    wakuu kumbe nilikua naukosa uhondo mkuu Chief-Mkwawa je nikiwa napakua kama mafile matatu hivi bila kudisconnect yataendelea kwa spidi ileile? au itagoma ili nianze kukitumia kifurushi effectively
  8. No More Drama

    kumbe bittoret ipo vizur

    wakuu Leo nimejionea maajabu kwenye smart yangu nimepakua movie ya 1.08GB kwa dakika kama 27 hivi kwa kutumia bittorent pro cracked apk ambayo niliipata ONHAX na cha ajabu ujumbe wa kumaliza kwa 700mb zenye kasi uliingia ikiwa bado downloading haijamalizika lakini spidi iliendelea vilevile...
  9. No More Drama

    Mada maalumu: Mchakato Bodi ya Mikopo 2015/16 (Vigezo na ujazaji fomu)

    hujaweka tu username na password +security code vizuri
  10. No More Drama

    Unlimited Internet Using Multi-SSH

    mkuu hii kitu itakuwepo kwa mda mrefu?
  11. No More Drama

    Badili kitu chochote kwenye smartphone yako ya android

    voda wcdma inakubal bila matatizo sema chaj inatumika sana
  12. No More Drama

    Waliochaguliwa kujiunga na Mafunzo ya JKT kwa mujibu wa Sheria

    1. makutopora-dodoma 2.mtabila-kigoma 3. ruvu-jkt pwani 4.msange -tabora 5.rwamkoma-musoma 6. BUROMBORA -KIGOMA 7. kanembwa kigoma
  13. No More Drama

    Transaction ID (NACTE) kwa 40000/= tu

    mchek kwa iyo mamba yake mkuu yupo serious kabsa usiogope atakupa uiingze kwanz ila use mwaminifu
  14. No More Drama

    Huduma: Unlocking Phone by IMEI Number

    mkuu na zenyewe unapata free unlimited internet
  15. No More Drama

    Post ilyochangiwa sana JF

    wakuu kichwa cha habari hapo juu chahusika nahitaji kujua ni post gan ilifikisha reply nyingi kulko nyingine humu ndan c:c Mwl.RCT
Back
Top Bottom