Itakuwa ni vyema ukanijibu nenda page Fulani utakutana na hiyo habari, kuliko kuniambia zipo nyingi tu mtandaoni, Kama unafahamu kuwa zipo nyingi fahamu kuwa inaweza ikawa ni ngumu pia kwangu kuipata habari husika pengine naweza kuipata inayofanania na hiyo Ila sio yenyewe kabisa.
Kama ilivyo sasa tupo kwenye awamu ambapo serikali inasisitza sana juu ya viwanda na uwekezaji mkubwa sana umefanyika na tunaona viwanda Vingi vikijengwa katika mkoa wa Pwani.
Lakini wawekezaji wakubwa wamekuwa ni wachina wahindi na wazungu. Wabongo wenye viwanda ni wachache sana.
Sababu...
Hata mm hii kitu huwa inaniudhi sana sema Mzungu kaishafanya figisu nyingi sana kuhusu Mtu mweusi, na kwa sababu wameendelea katika maeneo mengi hivyo bado tuna kazi sana kubadilisha hii chuki iliyopo kwa MTU mweusi.
JE UNAJUA KUHUSU UKIMWI KWA KIASI GANI?
Habarini wana Jamii forum…
Leo ningependa tuweze kufahamishana machache kuhusu gonjwa hili hatari la UKIMWI kwa kugusia vipengele vichache tu ambavyo vitaweza kuongeza ufahamu wetu kuhusu janga hili ambalo bado linaisumbua dunia nzima, vipengele hivyo ni...
Wewe huna ulimi utajuaje ladha ya chakula? Tuache cc na mboo zetu tuonje ladha tofautitofauti kuanzia mnato, za moto, baridi mpaka mabwawa ya maji labda ungesema papuchi yoyote ukiingiza lazima ukojoe tungekuelewa ila ila utamu wa k haufanani kabisa.
Nimeusoma huu uzi nikakosa raha kabisa. Wadau kama kuna mtu mwenye uzoefu ambaye anaweza kupangilia mambo angalau hili suala likafika kwa wahusikia kwa uzito unaotakiwa tutakuwa tumesaidia wengi, lakini kulalamika tu hakuna faida yoyote. #RAISMAGUFULIUJEHAPAKWENYEHUUUZI.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.