Recent content by Nniniisimba

  1. Nniniisimba

    JamiiForums Tanzania Yaitishwe maandamano makubwa nchi nzima kushinikiza Tundu Lissu aachiwe

    Nyinyi maccm ni takataka 🚮
  2. Nniniisimba

    JamiiForums Tanzania Yaitishwe maandamano makubwa nchi nzima kushinikiza Tundu Lissu aachiwe

    Hakuna kurudi nyuma ni kusonga mbele tu Tundu Lissu sio mhaini. Wahaini ni samia na genge lake Na lengo lao ni kuingiza hofu kama uliyonayo sasa hivi ili waiuze nchi kabisa kwa ndugu zao waarabu
  3. Nniniisimba

    JamiiForums Tanzania Yaitishwe maandamano makubwa nchi nzima kushinikiza Tundu Lissu aachiwe

    Naunga mkono hoja maandamano hayo yahamasishwe misikitini, makanisani, masokoni ,vyuoni na kila pahala
  4. Nniniisimba

    JamiiForums Tanzania Wasaidizi wa Mnyika wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa kuhisiwa kufanya uharifu

    Huyu naye atakuwa mshirikina sio bure.
  5. Nniniisimba

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kumpongeza mtoto/watoto wako

    Safi sana
  6. Nniniisimba

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kumpongeza mtoto/watoto wako

    Gkk
  7. Nniniisimba

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Utashi wa wananchi umeporwa kwa bunduki Kinondoni, Siha

    Kwa Bwana Yesu jibu lipo.
  8. Nniniisimba

    JamiiForums Tanzania Pigo la kwanza: Arusha mjini na Hai kurudi CCM!!

    Arusha mjini walimwambia mh Lema wala asipige kampeni tayari ni mbunge wao tena 2015-2025, ukienda hai kwa mh Mbowe ccm hakunaga kure! sasa sijui huyu nae kafufukia wapi????
  9. Nniniisimba

    JamiiForums Tanzania Vitambulisho 134 vya mpiga kura vyakamatwa na TAKUKURU mkoa wa Kagera

    Tatizo watanzania 90% ni maskini wa kutupwa jamani chakula hawana, viatu hawana, nguo hawana, maji hawana, zaidi sana na elimu hawana n.k. sasa mtu wa namna hiyo hata ukimpa 1000Tshs atakupa kadi yake. Hapa tunataka sasa tuione kazi ya tume ya uchaguzi NEC!
  10. Nniniisimba

    JamiiForums Tanzania Msanii jela miaka 10 kwa kumiliki fisi

    Bila shaka huyu jamaa atakuwa mshirikina, japo adhabu hiyo imezidi kiwango kidogo. Lakini hawa watu hutumia fisi hao kuwangia usiku. :typing:
  11. Nniniisimba

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Wenyeviti wa Vijiji, Vitongoji na Serikali za mitaa kulipwa

    Na ndio maana kweli duuuh....
  12. Nniniisimba

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Mtikila asema CHADEMA wanahusika na kifo cha Chacha Wangwe; kumfikisha Lowassa Mahakamani

    hata mimi mwenyewe sijui mkuu tamuuuuu, MUNGU yeye mwenyewe ajua sababu ndugu yangu. Imeniuma sana kweli ndugu yangu.
  13. Nniniisimba

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Mtikila asema CHADEMA wanahusika na kifo cha Chacha Wangwe; kumfikisha Lowassa Mahakamani

    Aisee nimesikitika sana ndugu yangu Jambazi
  14. Nniniisimba

    JamiiForums Tanzania Nimekutana naye kwa mganga wa kienyeji.Je anafaa kuwa mke?

    Wachawi bhana, bora wafe wooote kwa jina la yesu. Amina
  15. Nniniisimba

    JamiiForums Tanzania Twiga wanaoonekana kwenye mitandao ya kijamii na kudaiwa kuwa ni twiga wa Tanzania, Si kweli

    Wapumbavu na malofa wakubwa nyinyiem, Watanzania sio wajinga tena kiasi mlichofikiri, majibu ni october 25
Back
Top Bottom