Recent content by nngende

  1. N

    JamiiForums Tanzania Hatari ya kupotea kwa usingizi

    Nasema mbona unauliza jibu! Ukiona KE hapa JF amepotea jua amepotezwa katika penzi jipya. Likichuja anarejea.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kila mmiliki wa Nissan Murano ana story ya kusimulia...

    Kwanza ukiagizq Gharama yake ndogo kuliko yard! Sijawahi kununua gari yard @ gari naagiza huko
  3. N

    JamiiForums Tanzania Wanawake bikra bado wapo!

    Na kweli ni wengi na wameishia njiani. Namshukuru mungu msimamo wake huwa hauyumbi. Huwa nam-encourage kuwa hata miaka 50 ukiwa umejitunza utapata mume tu
  4. N

    JamiiForums Tanzania Wanawake bikra bado wapo!

    Kama upo tayari kusubiri hadi siku ya ndoa. Aidha ukihitaji uthibitisho yupo tayari kwenda kwa Gynaecologist wakike akathibitisha. Maana wa kiume mh!
  5. N

    JamiiForums Tanzania Wanawake bikra bado wapo!

    Kwa binti wa 34 sina wasiwasi maana anajitambua. Ila sometimes shit happen, anaweza kukutana na lishenzi likamuonja ikawa amepoteza thamani yake na likamkimbia. Hivyo tahadhari muhimu. Imagine umejitunza kwa miaka yote hiyo unakutana na tapeli anakuvurugia.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Wanawake bikra bado wapo!

    Ushahidi upo ni engineer ana masters na miaka 34. Bado anasubiri the right man
  7. N

    JamiiForums Tanzania Hatari ya kupotea kwa usingizi

    Unauliza makofi Polisi?
  8. N

    JamiiForums Tanzania Watu maarufu ambao hawakuwahi kupata Watoto Maishani mwao

    Inategemea! IVF si kumwekea mwanamke sperms bali fertilization inafanyika katika test tube na baada ya hapo mbegu za mwanaume zikisha kutanishwa na yai la mwanamke hicho kiumbe kinaingizwa moja kwa moja katika mfuko wa uzazi wa mwanamke aliyeandaliwa. Iwe ni yeye au kwa msaada wa mwanamke...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Watu maarufu ambao hawakuwahi kupata Watoto Maishani mwao

    yeyote
  10. N

    JamiiForums Tanzania Nini kilimuua Profesa Hubert Kairuki?

    Nakiete?
  11. N

    JamiiForums Tanzania Ndoa ya Miaka 30 Kuishia Talaka: Makosa Mapya au Uvumilivu Uliofika Mwisho?

    Nimekumbuka, tuachie hapo
  12. N

    JamiiForums Tanzania Ndoa ya Miaka 30 Kuishia Talaka: Makosa Mapya au Uvumilivu Uliofika Mwisho?

    Unajua mtoto ni kiunganishi kati ya mama na baba yake. Unless siyo biological father. Nakueleza kuna siku itabidi tu Angalau muongee kuhusu huyo mtoto. Unless Mzazi ha Kali kuhusu mwanae. Nilijitahidi nisiongee na mama wa mwanangu, lakini siku aliposikiwa visu na majambazi, Mbona nilipiga...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Ndoa ya Miaka 30 Kuishia Talaka: Makosa Mapya au Uvumilivu Uliofika Mwisho?

    Huo ni ubinafsi! Ndoa baada ya kuwa na watoto, Nguzo kuu ni watoto. Unaposikia wanasema ndoa ni wito au sakramenti, maana yake ni hiyo. Watoto kwanza, ubinafsi baadaye
Back
Top Bottom