Recent content by nnauje

  1. nnauje

    JamiiForums Tanzania Kutuma SMS nyingi bila kuonesha namba yangu

    Wataalamu nisaidieni
  2. nnauje

    JamiiForums Tanzania Kutuma SMS nyingi bila kuonesha namba yangu

    Habarini ndugu zangu, Ninaomba kusaidiwa kutuma sms nyingi sana bila kuonesha namba yangu, ikiwezekana litokee jina tu nitakalolipenda. Natanguliza shukrani kwenu.
  3. nnauje

    JamiiForums Tanzania Kujifuta documents zilizo seviwa kuwa 0kbs

    Natanguliza shukrani kwenu wakubwa ,pc yangu kila nikisave documents kwa Microsoft word or PDF baada ya muda fulani huwa 0kb yaani sawa na hamna documents tena.naomba kusaidiwa shida ni nini? Na je natatuaje tatizo hilo?
  4. nnauje

    JamiiForums Tanzania Kuonekana makundi ya ngono na lugha nisizoeleweka

    Ndugu naomba kujuzwa nini kinasababisha kuonekana kwa makundi hayo kwenye ukurasa wangu wa facebook ikiwa ni picha za ngono na lugha ambazo hazieleweki Naomba kusaidiwa namna ya kuzitoa maana ni aibu unaweza ukawa mbele za watu ghafla unaona hayo makundi ya hivyo ambayo ujawahi kujiunga...
  5. nnauje

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa jinsi ya kustopisha video za facebook zisicheze bila ruhusa yangu

    Nawasalimu katika jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kama mada tajwa hapo juu naomba kuelekezwa jinsi ya kuzifanya video za facebook zisicheze au kuonyesha bila ruhusa yangu. Hili jambo nimeligundua ndio jini linalomaliza MB zangu na kama mujuavyo Mb zenyewe za kupima kwa vibaba...
  6. nnauje

    JamiiForums Tanzania Nataka kuinunua hii PC

    Samahani ndg unaweza ukanitajia jina kabisa la PC na budget yake ambayo ipo karibu na 700 niliyonayo au niongeze kidogo pesa
  7. nnauje

    JamiiForums Tanzania Nataka kuinunua hii PC

    Ubarikiwe brand ipi ni nzur zaidi HP, Dell, Lenovo etc?
  8. nnauje

    JamiiForums Tanzania Nataka kuinunua hii PC

    Ubarikiwe mkuu Na kwa bajeti ya laki 7 napata yenye sifa zipi mkuu ? Used
  9. nnauje

    JamiiForums Tanzania Nataka kuinunua hii PC

    Nashukuru ndugu mm nilitaman zaidi muichambue hiyo PC kwa kuangalia hiyo picha niliyoattach
  10. nnauje

    JamiiForums Tanzania Nataka kuinunua hii PC

    Kwa heshima wanajf naomba ushauri wenu wa kitaalam kwa hii PC ,Mimi sijui chochote kuhusu PC nisije nikaibiwa.
  11. nnauje

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa tatizo hili la PC

    Hii PC yako inaonesha unatumia bila betri na Hali hii inatokea mara umeme unapokata na ikajizima yenyewe wewe kuwa mvumilivu tu fuata maelekezo mpka mwisho sema inachelewa sana usikate tamaa
  12. nnauje

    JamiiForums Tanzania Nichukue ipi kati ya HP pro x2612 na Lenovo Yoga

    Usiangaike ww weka ganda mezani chukua HP hutajuta ila chukua Mpya sio used hizo na uchukue PC Kali ,ona mm nilichukua HP probook miaka ya 2012 mpaka sasa ipo kwenye begi ila kupanga ni kuchagua
  13. nnauje

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kubadili combination ya HGL kwenda CBG huku nikiwa na F ya hesabu?

    Sisi tulisoma nae kama huyo yeye alichaguliwa PCB akahamia cbg akahamia hgl mwishon akahama na Shule kabisa
Back
Top Bottom