Kujifuta documents zilizo seviwa kuwa 0kbs

Kujifuta documents zilizo seviwa kuwa 0kbs

nnauje

Member
Joined
Jul 3, 2018
Posts
26
Reaction score
12
Natanguliza shukrani kwenu wakubwa ,pc yangu kila nikisave documents kwa Microsoft word or PDF baada ya muda fulani huwa 0kb yaani sawa na hamna documents tena.naomba kusaidiwa shida ni nini? Na je natatuaje tatizo hilo?
 
Download malwarebyte free version kisha scan mashine yako..

Utanishukuru baadae
 
Pia kumbuka ku ZIP files zako za muhimu kwa Winrar man.
 
Back
Top Bottom