Nataka kuinunua hii PC

nnauje

Member
Jul 3, 2018
26
12
Kwa heshima wanajf naomba ushauri wenu wa kitaalam kwa hii PC ,Mimi sijui chochote kuhusu PC nisije nikaibiwa.

IMG_20220118_121949_637.jpg
 
Utashauriwaje sasa hapo . Kwakuwa ni used pga picha nje kila kona. Fungua sehem ya harddisk na motherboard pga pcha..
Tuambie unauziwa shngap na wap unanunua tujue pa kuanzia kukushauri

Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
Nashukuru ndugu mm nilitaman zaidi muichambue hiyo PC kwa kuangalia hiyo picha niliyoattach
 
Ubarikiwe mkuu
Na kwa bajeti ya laki 7 napata yenye sifa zipi mkuu ? Used
Kwa urahisi unapata core i5 gen ya 6 na 7, ila ukikomaa kutafuta unapata gen ya 8 pia, gen ya 8 ni nzuri zaidi. Mambo ya ram na hdd yanabadilishika mbele ya safari.
 
Kwa urahisi unapata core i5 gen ya 6 na 7, ila ukikomaa kutafuta unapata gen ya 8 pia, gen ya 8 ni nzuri zaidi. Mambo ya ram na hdd yanabadilishika mbele ya safari.
Ubarikiwe brand ipi ni nzur zaidi HP, Dell, Lenovo etc?
 
Ubarikiwe brand ipi ni nzur zaidi HP, Dell, Lenovo etc?
Kila brand inaweza kuwa nzuri. Kibongo bongo utapata tu model za wafanyabiashara kama Lenovo Thinkpad, HP elitebook etc. Brand za pc hazina utofauti sana. Cha muhimu ni warranty.
 
Kila brand inaweza kuwa nzuri. Kibongo bongo utapata tu model za wafanyabiashara kama Lenovo Thinkpad, HP elitebook etc. Brand za pc hazina utofauti sana. Cha muhimu ni warranty.
Samahani ndg unaweza ukanitajia jina kabisa la PC na budget yake ambayo ipo karibu na 700 niliyonayo au niongeze kidogo pesa
 
Samahani ndg unaweza ukanitajia jina kabisa la PC na budget yake ambayo ipo karibu na 700 niliyonayo au niongeze kidogo pesa
Naweza kukutajia na usiipate, pc zipo nyingi sana tofauti na simu, na pc moja inaweza kuna na configuration tofauti hata 20, naweza kwambia tafuta Lenovo thinkpad 480 ukafika ukauziwa version ya pentium, vyema ukaangalia specification mwenyewe.

Ingia my computer kisha right click kisha properties. Gen ya 8 i5 itakuwa ni i5 8250u kama ni gen ya 7 ni 7200u na gen ya 6 ni 6200u.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom