Recent content by Nkyagal

  1. N

    JamiiForums Tanzania Kuna wengine hatujui tulipokosea

    Shukran sana [/USER]
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kuna wengine hatujui tulipokosea

    Pole sana dada kwa uliyopitia, maisha ni 10% ya Yale tunapitia na 99% ya vile tunaamua kurespond Yale tuliyopitia, sis tumesoma story tumeumia lakin wew uli experience hayo yote Tena ukiwa peke Yako. Hatuna nafasi sana ya kuweza kukushaur nin Cha kufanya sababu mwitikio wako kwa Yale uliyopitia...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kuna wengine hatujui tulipokosea

    Na mim nasubir hapa
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kuna wengine hatujui tulipokosea

    Pole sana dada kidot. Haujapata nafuu jamani tupate episode ingine😋
  5. N

    JamiiForums Tanzania Funzo kwa baba wanaotelekeza watoto kwa mama zao

    Ni vile tu watu tumezoea kuona kawaida baada ya mtu fulan kutelekeza familia/watoto, tunasema mbona fulani hajapatwa na kitu na tena wa/mwanae alipokua amekuja kumtafuta. Lakini tukumbuke hao wa/mtoto ni viumbe hai( mwanadam ) mwenye nyama na damu, ameumbwa kwa kusudi maalum kabisa. je unadhani...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Aende chuoni miaka 5 kisha apewe mtaji au aende kusaidia biashara ya familia miaka mitano kisha afunguliwe biashara?

    Mim naunga mkono kwenda kujifunza biashara as waasis wake bado wapo. Lkn hii ni kama anajielewa maana atashika hela akiwa mdogo so asipokua makini anaweza kupotea.
  7. N

    JamiiForums Tanzania NiagizeDar (Testing Mode) *149*46*14#

    Hongera kwa kutoka kua pipe had platform Swali langu ni je Ikitokea mzgo wangu haujafika, malalamiko yangu yanasikilizwa na nani?
  8. N

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum: Growth Hacking

    In 2023 lkn mkuu bado naipitia pitia kujikumbusha
  9. N

    JamiiForums Tanzania Nilirudisha Milioni 3 niliyookota kwa mwenyewe, uamuzi uliobadilisha hatma ya maisha yangu

    Naamin Bw Paschal pia aliwashangaa Ndg zake kwa kile walichokulipa lknMu gu hubarik watu kupitia watu, maisha yetu yanategemea sana uhusiano kat yako na Mungu na vile vile kat yako na binadam wenzako, Najaribu kuwaz kwa mazingira yale ya stand alaf urudishiwe fedha zako, kweli ni muujiza
  10. N

    JamiiForums Tanzania Ana mshahara wa Tshs 800,000 aweke akiba shilingi ngapi?

    Sasa wapi aliandika familia yake haijazoea pesa?
  11. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta sukari Kali ya unga ya viwandani kwa ajili ya utengenezaji wa juice

    Labda kama unatengeneza yako binafsi ndo sukar ya tunda itakutosha. Lkn kama utaongeza maji umeshafanya dilution
  12. N

    JamiiForums Tanzania Watanzania tulioko Dubai tufahamiane na pengine tupange kuonana

    Unaweza kua sawa lakin. Dunia inaenda mbele kwa kua tuna mawazo tofaut tofaut
  13. N

    JamiiForums Tanzania Masikini tunaishi maisha mazuri kuliko Matajiri

    Hahahhahahah. Kwa ufupi ni issue ya mtazamo
  14. N

    JamiiForums Tanzania TAHADHARI: Vijana wengi wanapoteza muda Dar es Salaam

    🙄🙄🙄
Back
Top Bottom