Recent content by NKUU SINDE KWETU

  1. N

    JamiiForums Tanzania Ninatamani kuwa Katibu wa Mbunge mwenye Jimbo, Sifa zake zikoje???

    Mkuu, Umbea na fitna tena?? Duuuh, tena Diploma. Hii sifa sina
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mramba, na si Chenge, Lowassa, Tibaijuka na Muhongo?

    Kwani Kikwete ndio alikuwa hakimu kwenye hii kesi???
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mramba, na si Chenge, Lowassa, Tibaijuka na Muhongo?

    Lowasa anaingiaje hapa sasa?? Fikiri kabla ya kuandika na ku-post!! CC: Kibo10
  4. N

    JamiiForums Tanzania Ninatamani kuwa Katibu wa Mbunge mwenye Jimbo, Sifa zake zikoje???

    Wadau, Binafsi natamani kuwa Katibu wa Mbunge. Na iwe ni Mbunge mwenye Jimbo. Ila ningependa kujua ni vigezo gani vinatumika ili kupata nafasi kama hiyo. Nimeuliza kwa nia njema kabisa, Naomba lugha za kejeli ziwekwe pembeni.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Ofisi za ACT zafungwa rasmi na mwenyekiti Halali wa Chama hicho

    Ila mbona mimi sina hizo taarifa!!!!
  6. N

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila Mkumbo: Hatujafukuzwa ACT, ni mbwembwe za mwaka mpya tu

    Huyu Profesa anajiaibisha sana kwenye vyama vya upinzani (Michepuko)!! Anadhalilisha pia taaluma yake. Wasomi kuwa kwenye vyama vya upinzani inaleta UKAKASI sana!! Na kila kukicha wanaaibika tuu
  7. N

    JamiiForums Tanzania Albert Msando apotoka tena

    Ben, mimi ni mjasiriamali. Siasa napenda kuzifuatilia tu. Na mimi sio Kiongozi na wala sina nia ya uongozi. One day you will get to know me.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Albert Msando apotoka tena

    Matendo mabovu ya Zitto yalianza kabla hata ya waraka kukamatwa, mkuu hebu fumbua macho kidogo. Transaction za hela alizofanya, maongezi ya mitandao na msg vilikuwa ni ushahidi. Hivi unazijua kazi za Udiwani??
  9. N

    JamiiForums Tanzania SWALI: Hivi ni kweli HAWA GHASIA anajibu Maswali ya Wabunge kwa KIBURI???

    Mkuu unataka Ubunge? Kama nenda Jimbo la Moshi mjini liko wazi toka mwaka jana.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Albert Msando apotoka tena

    Muulize Idadi ya wanawake alionao!! Siasa kavamia tuu huyu, na ndio maana yuko chadema.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Wakili Albert Msando diwani wa kata ya Mabogini

    Nsando anapenda sana starehe, nenda La Liga na Malindi utamkuta.
  12. N

    JamiiForums Tanzania SWALI: Hivi ni kweli HAWA GHASIA anajibu Maswali ya Wabunge kwa KIBURI???

    Mkuu tatizo cio uzi ila wachangiaji ndio wameingiza udini.
  13. N

    JamiiForums Tanzania SWALI: Hivi ni kweli HAWA GHASIA anajibu Maswali ya Wabunge kwa KIBURI???

    Wote ni Wabunge na wote ni wanasiasa na hili ni jukwaa la siasa.
  14. N

    JamiiForums Tanzania SWALI: Hivi ni kweli HAWA GHASIA anajibu Maswali ya Wabunge kwa KIBURI???

    Ina maana waliomchagua huyu mama walikosea sana??
  15. N

    JamiiForums Tanzania SWALI: Hivi ni kweli HAWA GHASIA anajibu Maswali ya Wabunge kwa KIBURI???

    Nasikia kasoma Chuo Bora Tanzania; Mzumbe University.
Back
Top Bottom