Wakili Albert Msando diwani wa kata ya Mabogini

Kamanda wakili Albert Msando ni diwani wa kata ya mobogini moshi vijijini kwa tiketi ya chadema. Nilijua jina hili nilipofika mabogini kwa shughuli mbalimbali nikiwa na kombati za chama, mara vijana wengi wakanizunguka na kuniuliza kama ninamfahamu Albert Msando diwani wao. Nikawaambia simfahamu kwani sijawahi kukutana naye na nilikuwa sipo kipindi cha uchaguzi.

Wakaniambia ni mwaka sasa tangia tumchague hatujamwona. Nilisikitika sana, wakaniambia ni wakili wa kujitegemea na ofisi zake walikuwa wanadhani zipo Arusha hivyo anaishi AR.

Nikataoa ripoti kwa viongozi wa chama moshi kuwa tuna diwani ambaye hajulikani alipo, na ofisini hafiki.

Mabogini ni kijiji kinachotegemea zao la mpunga kutokana na mradi wa mwaka 1985 chini ya ufadhili wa japan. Zao hili linaathirika kwa kiasi kikubwa kwa ukosefu wa maji, maji ya umwagiliaji hayatoshi. Mradi huu haukuzingatia uvunaji maji na uhifadhi wake kutokana na mahitaji.

Nimeshauri mara nyingi kujengwa kwa mabwawa makubwa mara baada ya vyanzo vya maji yanaoyoweza kukidhi umwagiliaji huu kwa msimu. Gharama za mabwawa haya ni ndogo ukilinganisha na hasara wanayopata wakulima ambapo kuna wananchi zaidi elfu arabaini kwenye kata ya Mabogini na Kahe wanaotegmea kwa kiwango kikubwa kilimo hiki.

Mashamba haya kwasasa yanakosa uzalishaji kama ulivyoakinishwa hapo awali. Siioni mtu yeyote kwa dhati anayetaka kutatua tatizo hili kwa kina. Nilimtafuta sana Msando ili niweze kumshauri jinsi ya kutatua tatizo hili kama diwani ambaye wapiga kura wake ni waathirika wakubwa.

Mabogini ni kata iliyotengwa na mbunge wa Moshi vijijini Cyril sijui nani. Barabara inayounganisha mabogini na pasua then Mjini moshi iko kama imepigwa bomu. Barabara hii ni kiunganisha kizuri sana cha Moshi mjini, pasua, Mabogini, Chekereni, Kahe na Kileo. Barabara hii wanakaa wakzi zaidi ya elfu 50 wanaunganisha inayotaka kuwa jiji la moshi.

Mipango miji bado ni shaghalabaghala haieleweki.

Kwanini ninamlaumu Wakili Albert Msando, Kamanda huyu ni kijana msomi hivyo wananchi walifikiri wanaingiza chachu ya mabadiliko fikra na maono mapya. Namuomba akimaliza kutetea wateja wake najua ni kazi kwani ndio kazi ya mwanasheria kutetea wahalifu ili watendewe haki, arudi kwenye kata yake tutatue matatizo ya wananchi.

Kwa Niaba ya wakazi wa Mabogini-tunamtafuta Diwani.

Msando ni diwani kwa tiketi ya CDM

Ulichosema nikweli kabisa maji toka msitu wa njoro nikidogo sana hayawezi tosheleza kwa kilimo pasipo kuweka miundo mbinu vizuri. Barabara kuanzia pale zara hali nitete kweli kweli. Nimeshakutana na huyu diwani zaidi ya mara3 na kila unapomshauri basi yeye hujiona anajua zaidi na nimsomi. Kiufupi hashauriki. Nakumbuka tulikua naye kwenye kikao cha chama pale majengo kwenye ofice ya mkoa akapewa hayo malalamiko lkn hakuweza toa majibu yakuridhisha.
 
Wewe ni kilaza unalalamika na majibu unajipa mwenyewe sasa kama mbunge wako kashindwa kuwasaidi unategemea nini kutoka kwa diwani?umesema amepote nimekuthibitishia kwa picha anajitahidi kwa nafasi yake kama diwani kuwa karibu na wananchi wake inawezekana kwa maelezo yako wewe ndio umepotea kwenye kata yako na hujuwi kinachoendelea shule za kata ya mabogini amejitahidi kusaidi kujenga matundu ya vyoo kwa pesa zake na si za halimashauri wakati wa kampeni alituaidi zaidi kusaidia upande wa elimu na hilo analifanya.

kamanda usilete ushabiki hapa, shule ya kata iliyoko hapa karibu na kanisani kajenga matundu hapa? Na hiyo picha yako haina maana yeyote, anaweza kuwa alikuwa shambani kwake, lile kalavati limejengwa miaka 25 iliyopita anakagua nini pale kalizibua au?

Msando hapatikani kwenye kata. Na wanaosema eti yeye sio Mbunge ni kweli kila mmoja anamipaka yake. Ila kujenga Bwawa la maji linalosaidia kata husika ni kazi ya diwani kuitetea kupitia yhalamashauri ambapo na mbunge ni mwakilishi. Aseme ni nini amesema popote kuhusu maendeleo ya mabogini? Huwa hatumuoni hata kwenye vikao. Uwajibikaji ni tunda la haki.
 
Uliyosema kuhusu wakulima,barabara ni kweli kabisa na hta kama Msando atagombea tena kupitia CDM hataweza kushinda.Watu wanajuta kuacha kumchagua KAPAMA wa CCM kipindi kile.

ndo maana nikawa nauliza ni diwani wa chama gani? maana yawezekana kuwa mmekaa sehemu ambayo mmezungukwa na vioo vya kujiangalia mkiwa uchi halafu unataka kuwapiga picha wenzako waliokuzunguka huku ukijisahau kuwa nawe unatokea kwenye picha kwa ukiwa uchi. Sasa ndo huyu jamaa anayedhani anamchafua Albert Msando kumbe anaichafua CDM
 
Mradi tunaishi nao miaka zaidi ya 25 sasa, alikagua nini hapo? Wakati mradi unapanuliwa mwanzoni mwa miaka ya 90 tulisema tunahitaji vyanzo vya uhakika vya maji pamoja na kuhifadhi maji.

Kuna ngonjera za uhaba wa maji, zimekuwepo kwa muda sasa, na Msando alitumia hiyo kushinda tunataka majibu sasa. Kilimo hiki kilikuwa cha kienyeji kabla ya kufanywa cha kisasa, wakati ni sehemu ndogo ilikuwa ina tumika kulimia mpunga. Upanuzi ukahitaji uwezo mkubwa wa maji hasa kwenye vyanzo, ila urahisi ni kuvuna maji ya mvua, na chem chem asilia kwa kuyakusanya kwa kutumia mabwawa makubwa ya kisasa.

Tunachohitaji ni uwakilishi wa kusimamia maendeleo yetu kwa uhakika, tunajua Mbunge hawezi kutusaidia kwani ameweka wazi hatuhitaji. Tunahitaji Diwani tutakafanya naye kazi na kufufua kilimo hiki na kuongeza pato la wananchi hawa. Huu upuuzi wa kumpiga mtu picha na kusema anakagua hewa huuu .....

Pili muulize hiyo siku Msando alipofika kwenye hilo kalavati la Rau river alipitia barabara gani? Aeleze kwanini wanaendelea kuifanya barabara ya mabogini mtaro wa maji ya mvua.------loading
Wewe umesaidia nini so far huko?si gombea basi na wewe huo udiwani?watu wengine visilani kweli..utadhani diwani ni Rais?
 
Huyu lazima 2015 apumnzishwe awatumikie vizuri wasaliti.
 
Kamanda wakili Albert Msando ni diwani wa kata ya mobogini moshi vijijini kwa tiketi ya chadema. Nilijua jina hili nilipofika mabogini kwa shughuli mbalimbali nikiwa na kombati za chama, mara vijana wengi wakanizunguka na kuniuliza kama ninamfahamu Albert Msando diwani wao. Nikawaambia simfahamu kwani sijawahi kukutana naye na nilikuwa sipo kipindi cha uchaguzi.

Wakaniambia ni mwaka sasa tangia tumchague hatujamwona. Nilisikitika sana, wakaniambia ni wakili wa kujitegemea na ofisi zake walikuwa wanadhani zipo Arusha hivyo anaishi AR.

Nikataoa ripoti kwa viongozi wa chama moshi kuwa tuna diwani ambaye hajulikani alipo, na ofisini hafiki.

Mabogini ni kijiji kinachotegemea zao la mpunga kutokana na mradi wa mwaka 1985 chini ya ufadhili wa japan. Zao hili linaathirika kwa kiasi kikubwa kwa ukosefu wa maji, maji ya umwagiliaji hayatoshi. Mradi huu haukuzingatia uvunaji maji na uhifadhi wake kutokana na mahitaji.

Nimeshauri mara nyingi kujengwa kwa mabwawa makubwa mara baada ya vyanzo vya maji yanaoyoweza kukidhi umwagiliaji huu kwa msimu. Gharama za mabwawa haya ni ndogo ukilinganisha na hasara wanayopata wakulima ambapo kuna wananchi zaidi elfu arabaini kwenye kata ya Mabogini na Kahe wanaotegmea kwa kiwango kikubwa kilimo hiki.

Mashamba haya kwasasa yanakosa uzalishaji kama ulivyoakinishwa hapo awali. Siioni mtu yeyote kwa dhati anayetaka kutatua tatizo hili kwa kina. Nilimtafuta sana Msando ili niweze kumshauri jinsi ya kutatua tatizo hili kama diwani ambaye wapiga kura wake ni waathirika wakubwa.

Mabogini ni kata iliyotengwa na mbunge wa Moshi vijijini Cyril sijui nani. Barabara inayounganisha mabogini na pasua then Mjini moshi iko kama imepigwa bomu. Barabara hii ni kiunganisha kizuri sana cha Moshi mjini, pasua, Mabogini, Chekereni, Kahe na Kileo. Barabara hii wanakaa wakzi zaidi ya elfu 50 wanaunganisha inayotaka kuwa jiji la moshi.

Mipango miji bado ni shaghalabaghala haieleweki.

Kwanini ninamlaumu Wakili Albert Msando, Kamanda huyu ni kijana msomi hivyo wananchi walifikiri wanaingiza chachu ya mabadiliko fikra na maono mapya. Namuomba akimaliza kutetea wateja wake najua ni kazi kwani ndio kazi ya mwanasheria kutetea wahalifu ili watendewe haki, arudi kwenye kata yake tutatue matatizo ya wananchi.

Kwa Niaba ya wakazi wa Mabogini-tunamtafuta Diwani.

Msando ni diwani kwa tiketi ya CDM

ukwel Msando ni mshikaji wangu ila udiwan kwake hataupata tena. mimi mwenyewe nina mashamba yangu mitaa hiyo ukipita huko ukiwasikiliza watu utashangaa.
 
Wewe umesaidia nini so far huko?si gombea basi na wewe huo udiwani?watu wengine visilani kweli..utadhani diwani ni Rais?

Albert msando diwani wa kata ya mabogini akiwa na walimu wakuu wa shule za msingi za kata ya mabogini hizi zote ni jitiada za diwani katika kuinua kiwango cha elimu cha kata ya mabogini ImageUploadedByJamiiForums1386781728.443248.jpg
 
Kamanda wakili Albert Msando ni diwani wa kata ya mobogini moshi vijijini kwa tiketi ya chadema. Nilijua jina hili nilipofika mabogini kwa shughuli mbalimbali nikiwa na kombati za chama, mara vijana wengi wakanizunguka na kuniuliza kama ninamfahamu Albert Msando diwani wao. Nikawaambia simfahamu kwani sijawahi kukutana naye na nilikuwa sipo kipindi cha uchaguzi.

Wakaniambia ni mwaka sasa tangia tumchague hatujamwona. Nilisikitika sana, wakaniambia ni wakili wa kujitegemea na ofisi zake walikuwa wanadhani zipo Arusha hivyo anaishi AR.

Nikataoa ripoti kwa viongozi wa chama moshi kuwa tuna diwani ambaye hajulikani alipo, na ofisini hafiki.

Mabogini ni kijiji kinachotegemea zao la mpunga kutokana na mradi wa mwaka 1985 chini ya ufadhili wa japan. Zao hili linaathirika kwa kiasi kikubwa kwa ukosefu wa maji, maji ya umwagiliaji hayatoshi. Mradi huu haukuzingatia uvunaji maji na uhifadhi wake kutokana na mahitaji.

Nimeshauri mara nyingi kujengwa kwa mabwawa makubwa mara baada ya vyanzo vya maji yanaoyoweza kukidhi umwagiliaji huu kwa msimu. Gharama za mabwawa haya ni ndogo ukilinganisha na hasara wanayopata wakulima ambapo kuna wananchi zaidi elfu arabaini kwenye kata ya Mabogini na Kahe wanaotegmea kwa kiwango kikubwa kilimo hiki.

Mashamba haya kwasasa yanakosa uzalishaji kama ulivyoakinishwa hapo awali. Siioni mtu yeyote kwa dhati anayetaka kutatua tatizo hili kwa kina. Nilimtafuta sana Msando ili niweze kumshauri jinsi ya kutatua tatizo hili kama diwani ambaye wapiga kura wake ni waathirika wakubwa.

Mabogini ni kata iliyotengwa na mbunge wa Moshi vijijini Cyril sijui nani. Barabara inayounganisha mabogini na pasua then Mjini moshi iko kama imepigwa bomu. Barabara hii ni kiunganisha kizuri sana cha Moshi mjini, pasua, Mabogini, Chekereni, Kahe na Kileo. Barabara hii wanakaa wakzi zaidi ya elfu 50 wanaunganisha inayotaka kuwa jiji la moshi.

Mipango miji bado ni shaghalabaghala haieleweki.

Kwanini ninamlaumu Wakili Albert Msando, Kamanda huyu ni kijana msomi hivyo wananchi walifikiri wanaingiza chachu ya mabadiliko fikra na maono mapya. Namuomba akimaliza kutetea wateja wake najua ni kazi kwani ndio kazi ya mwanasheria kutetea wahalifu ili watendewe haki, arudi kwenye kata yake tutatue matatizo ya wananchi.

Kwa Niaba ya wakazi wa Mabogini-tunamtafuta Diwani.

Msando ni diwani kwa tiketi ya CDM

Unatumika lakini haujijui
 
Naona watu wameanza kampeni za udiwani,bahati mbaya hawajui kuwa wapiga kura wa Mabogini hawapo humu JF. ni westage of time kwao.

Binafsi siungi mkono Msando kugombea Udiwani,kama watu wa Division 5 kama Sugu na Lema ni wabunge kwanini Wakili awe diwani?Msando ebu tafuta Ubunge,mwachie kinepinepi huo udiwani wa Mabogini,chuki binafsi isije muua bure.
 
Hii yote kwa sababu amesimama upande wa kutetea haki itendwe na Kamati Kuu ya Chadema.

Msando hapa anapigwa zengwe ili kumtisha!

Watu wa namna hii wakipewa dola watakuwa waonevu sana kwa wapinzani wao.
 
Kamanda mimi mzaliwa wa Mabogini, nataka Msando aje hapa aseme ni kipi amekifanya na hivyo vyoo viko mtaa gani. AU akanushe kimoja nilicho andika. Aseme mara ngapi kahudhuria vikao vya madiwani achana vya kata. Huko facebook wananchi wa Mabogini hawawezi kusoma, hakuna hata internet Cafe hapa.

Mbona hauko consistent? Kwenye thread post umesema ulitembelea Mabogini ndio ukasikia kuhusu huyu diwani, mara ghafla umekuwa mzawa wa Mabogini!

Ukiwa muongo inabidi uwe na good memory...
 
Naona watu wameanza kampeni za udiwani,bahati mbaya hawajui kuwa wapiga kura wa Mabogini hawapo humu JF. ni westage of time kwao.

Binafsi siungi mkono Msando kugombea Udiwani,kama watu wa Division 5 kama Sugu na Lema ni wabunge kwanini Wakili awe diwani?Msando ebu tafuta Ubunge,mwachie kinepinepi huo udiwani wa Mabogini,chuki binafsi isije muua bure.[/QUOTE

weee koma tupo nipo mvuleni village
 
Mradi tunaishi nao miaka zaidi ya 25 sasa, alikagua nini hapo? Wakati mradi unapanuliwa mwanzoni mwa miaka ya 90 tulisema tunahitaji vyanzo vya uhakika vya maji pamoja na kuhifadhi maji.

Kuna ngonjera za uhaba wa maji, zimekuwepo kwa muda sasa, na Msando alitumia hiyo kushinda tunataka majibu sasa. Kilimo hiki kilikuwa cha kienyeji kabla ya kufanywa cha kisasa, wakati ni sehemu ndogo ilikuwa ina tumika kulimia mpunga. Upanuzi ukahitaji uwezo mkubwa wa maji hasa kwenye vyanzo, ila urahisi ni kuvuna maji ya mvua, na chem chem asilia kwa kuyakusanya kwa kutumia mabwawa makubwa ya kisasa.

Tunachohitaji ni uwakilishi wa kusimamia maendeleo yetu kwa uhakika, tunajua Mbunge hawezi kutusaidia kwani ameweka wazi hatuhitaji. Tunahitaji Diwani tutakafanya naye kazi na kufufua kilimo hiki na kuongeza pato la wananchi hawa. Huu upuuzi wa kumpiga mtu picha na kusema anakagua hewa huuu .....

Pili muulize hiyo siku Msando alipofika kwenye hilo kalavati la Rau river alipitia barabara gani? Aeleze kwanini wanaendelea kuifanya barabara ya mabogini mtaro wa maji ya mvua.------loading

Si umesema kwamba mwaka mzima hajaonekana eneo la mabogini ?
 
Najua nawe pia kama mtanzania unachangia lakini nasikitika kuona jinsi chuki na husda inavyokukaa ndani ya moyo wako,Tatizo ni kumtetea Zitto tu ?.Ngoja nikukumbushe mradi wa umwagiliaji lower moshi wa mpunga na mazao mchanganyiko aukuanza leo wala jana,Ulianza mwaka 1994 kwa ufadhili wa Japan kupitia JICA,mradi unategemea maji kutoka vyanzo vya NJORO na RAU ambayo yanapita katika mageti makuu mawili ya MABOGINI na RAU
Wakili Msanda yeye ni diwani wa kata ya mbogini amefanya mengi sana katika elimu,afya,na kutafuta masoko ya mchele,si kweli kwamba mavuno hakuna,mwaka jana tu wakulima walivuna sana tatizo likawa ni bei baada ya serikali kuruhusu mchele kutoka nje.Baada ya ufafanuzi huu najua chuki uliyonayo kwa Zitto aitapungua kwani ni wale wale wanaoamini katika demokrasia ya mwenyekiti wa kudumu.
Mimi naamini katika uhuru wa mawazo,kushindana katika oja na kujenga kuaminiana,Huo unaoitwa waraka wa mabadiliko samson mwigamba kashautolea ufafanuzi,kitilia kasema lakini bado amtaki kuamini ili mradi tu ni ZITTO,ial ukiusoma wote hakuna sehemu ambayo zitto ametajwa,sasa kwa nini anahukumiwa kwa hisia au tatizo ni huo uwenyekiti wa MBOWE?atatawala milele?
 
Back
Top Bottom