SWALI: Hivi ni kweli HAWA GHASIA anajibu Maswali ya Wabunge kwa KIBURI???

Wala hawana undugu wowote zaidi ya uislamu wao, kwani Mke wa rais kwao ni Lindi wakati huyu Hawa Ghasia kwao ni Mtwara kata ya Naumbu jiji cha Imekuwa.

hilo sio tatizo watu wana ndugu mpaka marekani na wanaishi mtwara, sembuse anayeish mtwara kuwa na undugu na mtu wa lindi?
 
Salaam wanajukwaa,
Nimemsikia Mbunge wa Mbeya Mjini (chadema) Mh Joseph Mbilinyi aka Sugu Bungeni akisema Mh Hawa Ghasia huwa anajibu maswali
ya Wabunge kwa kiburi na dharau. Kisa ana undugu na mke wa Rais!!!!!

Ale posho za uwaziri za mwisho mwisho
 
Wala hawana undugu wowote zaidi ya uislamu wao, kwani Mke wa rais kwao ni Lindi wakati huyu Hawa Ghasia kwao ni Mtwara kata ya Naumbu jiji cha Imekuwa.

Lindi na Mtwara ni sawa na mbinguni na duniani mpaka kukawa haramu kuwa na ndugu?
 
Mtu ukishakuwa ccm uwe na akili usiwe na akili, wote mnakuwa wavivu wa kufikiri na kujawa na kiburi kisicho na msingi mkiamini mtatawala milele

akichangia prof wa ccm hoja yake haina tofauti na hata mtoto wa darasa la pili. maneno yao yamejaa umbea, kujipendekeza na woga.
 
Kumbe Ghasia anatuhumiwa kwa Dini yake na wala si kwa utendaji wake. Thanks kwa taarifa.

jamani mambo ya udini sio mazuri. hapa Tz mpaka kichafuke siku moja ndio mjue .aliyeanzisha uzi huu lazima ashangae udini wa unakujaje. Embu angalieni Afrika ya kati kinachotokea ? Lazima walianza kama hizi.
 
Nasikia kasoma Chuo Bora Tanzania; Mzumbe University.

Mkuu hajasoma huyo MZUMBE UNIVERSITY, awadanganye maccm wenzake ambao ni wavivu wa kutafuta UKWELI.

Huyo amesoma Institute of Development Mzumbe (IDM). Najua maccm hayawezi kutofautisha IDM na Mzumbe University.
 
Weka CV zako mkuu,tuone ww uliyekuwa na akili na ulipo sasa,na mshahara wako

Na yy ambaye hakuwa na akili,alipo na mshahara wake

Ha ha ha haaaaaa uuuuuwiiiiiiii!! nimecheka sina mbavu mimi! kwa hiyo ukiwa empty kichwani ukapewa cheo na mshahara mzuri ni sifa katika siasa za tanzania! mimi nadhani hii imekaa zaidi ki undugunization au urafikinization! na hili lina wa cost sana viongozi wa chama tawala na serikali kuona kuwa walikosea kuwapachika ma vyeo na hito mishahara mikubwa VILASA maana hata wao wenyewe bungeni wanasemana wazi wazi! maendeleo hayajengwi na mjinga ila mwenye taaluma atatekeleza kwa vitendo! Sikatai kuwa ukiwa mwanasiasa lakini ukawa na taaluma na highque yako ni positive maendeleo yataonekana!
 
Salaam wanajukwaa,
Nimemsikia Mbunge wa Mbeya Mjini (chadema) Mh Joseph Mbilinyi aka Sugu Bungeni akisema Mh Hawa Ghasia huwa anajibu maswali
ya Wabunge kwa kiburi na dharau. Kisa ana undugu na mke wa Rais!!!!!
jamani hizi thread zingine kwa nini msizipeleke kule jokes? hata kama ni mbunge amesema haimaanishi kuwa lazima alichosema kifiti kwenye hili jukwaa. Da!
 
jamani mambo ya udini sio mazuri. hapa Tz mpaka kichafuke siku moja ndio mjue .aliyeanzisha uzi huu lazima ashangae udini wa unakujaje. Embu angalieni Afrika ya kati kinachotokea ? Lazima walianza kama hizi.

Mkuu tatizo cio uzi ila wachangiaji ndio wameingiza udini.
 
Tutasema mengi lakini ukweli ni kwamba tulibugi wenyewe, nyerere alikwishaonya kuhusu JK na EL. Mtu asiyekuwa na uwezo tusitarajie hata siku moja ataunda timu yenye uwezo ni bahati mbaya tu ukipata mtu mwenye uiyowezo kwa timu h
 
Wote ni Wabunge na wote ni wanasiasa na hili ni jukwaa la siasa.
sawa. lakini umeshindwa kutofautisha kati ya jukwaa la wanasiasa (ni kwa ajili ya wanasiasa tu hata kama hakuna siasa) na jukwaa la siasa (kwa ajili ya siasa tu hata kama wewe siomwanasiasa).!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom