Recent content by nkure

  1. nkure

    JamiiForums Tanzania TRA vipi makusanyo, au zilikuwa nguvu za soda?

    Subutuu. Haipo mkuu wangu.
  2. nkure

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe aitwa Polisi Kanda maalum Dar es Salaam

    Ni bora tufe wote tukiitetea democrasia ya Taifa hila Tanzania. Dereva anatupeleka shimoni anamsikiliza konda jirani alieshindikana.
  3. nkure

    JamiiForums Tanzania Kwanini Dodoma na si Dar es Salaam?

    Hivi kuna ulazima gani wa kuhamia Dododma kwa sasa? je? ni gharama kiasi gani zitatumika kuhamisha ofisi hizi? je? Sisi wa lala hoi ambao tuliambiwa hii nchi ni yetu sote kuna tunacho faidi hapa kweli? Hii sii hali ya kuendelea kulewa misifa na kusahau kuwa wako wanaoteseka? Ni nini hasa...
  4. nkure

    JamiiForums Tanzania Kwanini Dr. Tulia anashindwa kuendelea na bunge bila UKAWA?

    Anamsikiliza aliemtoa huko alikokuwa
  5. nkure

    JamiiForums Tanzania Hoja ya dharura wanachuo 7,000 UDOM: N/Spika aahirisha Bunge baada ya wabunge kwa pamoja kutoka nje

    Kwa hili Mh!. Niliwahi kumsikia mbunge mmoja akisema kuwa mawaziri wamekuwa wanafanya kazi kwa mzuka bila kufikiri
  6. nkure

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli watakaokuchukia sio wachache ni wengi

    Wee Phillipo naona bado unazo zile akili za kuendelea kuiba. Hii ina maana kwamba basi huyo dada asifukuzwe kazi kwani wafanyakazi wake walioko kwenye vitega uchumi vyake wanaishi kwa mshahara/ pesa ya BoT na sio pesa inayotokana na biashara wanayo isimamia. Ukifungua biashara yoyote lazma...
  7. nkure

    JamiiForums Tanzania Waziri Simbachawene: Uchaguzi wa Meya wa Dar kufanyika 25/03/2016

    Bora manake danadana zimekuwa nyingi.
  8. nkure

    JamiiForums Tanzania Alen Kijazi, Dkt Agness Kijazi na sasa Eng. John Kijazi, Dah!!

    Sio hao tu, yuko Happiness Kijazi Farm Concern International, yuko Martin Kijazi Good News Toronto. Watu wanawekeza kwenye elimu bwana. wengine tunabakia kupiga kelele za siasa tu.
  9. nkure

    JamiiForums Tanzania Mengi yazidi kuibuka kuhusu Nyalandu

    Nyalandu aliwahi kuwa hata anasafiri na hao wazungu kwenye kampen zake za urais. Lakini haishangazi ndo ilikuwa style ya awam hiyo manake kama hata unakumbuka hata wachina nao walikuwepo kwenye kampen za CCM. Anyway, sijui mwisho nini lakini bado hali ni mbaya sana bado na sii ajabu hata JPM...
  10. nkure

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kutembea na binti wa Kazi, sina jinsi

    Mkeo anapigwa huyo.Asikudanganye.
  11. nkure

    JamiiForums Tanzania Kenya Airways yaacha runway JNIA, uwanja wafungwa na ndege kulazimika kutua Zanzibar

    Ila inaonekana kuwa wewe ni mara ya kwanza kupanda ndege ndo mana unashaghaa jambo kama hilo mbona la kawaida tu.We kwani unawahi DAr au wapi na ukishajulishwa ya JK nyerere airport utarusha ndege au utamlazimisha pilot akupeleke sikuelewi mugabo.
  12. nkure

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumamosi, Tarehe 12 Aprili 2014 - Uwasilishaji wa Taarifa za Kamati

    Sasa mbona tbc wamefanya yao tena au ndo upuuzi uleule wa ssem
  13. nkure

    JamiiForums Tanzania Tendo la Ndoa: Faida/umuhimu wa kushiriki tendo hili

    Ingekuwa mnachagiaga hoja nyingine kama mlivyofanya hapa basi nchi ingekuwa na mabadiliko makubwa.
  14. nkure

    JamiiForums Tanzania Tumejipanga kutoa elimu ya uzalendo, kwa kutumia DVD

    Unajua huku ni kutapatapa kwa mfa maji, hivi KAMA KWELI WEWE NI MZALENDO? kwanini DVD zako ziwe na picha yako ZZK? kwa nini zisiwe vinginevyo? ina maana we ni mzalendo kuliko Watanzania wote? au msafi sana? au Unataka kusema we unaujua uzalendo kuliko watanzania wote? Na kama we mzalendo basi...
  15. nkure

    JamiiForums Tanzania Tumejipanga kutoa elimu ya uzalendo, kwa kutumia DVD

    Unachekesha wewe tena unazidi kujikaanga na mafuta yako. Mzalendo hatumii mbinu tata kama hizi zako ambazo mtu alieko 'Nyamnodwe' kule kwako hawezi tumia hiyo DVD kwani hana na hajui ni lini atapata umeme ili aweze itizama hiyo DvD.ACHA KUPOTOSHA NA KUDANGANYA WATANZANIA KWA KUTUMIA NENO UZALENDO.
Back
Top Bottom