Nimewaza sana nikapata jibu kuwa kweli CHADEMA ni ngangari, hebu fikiria mtihani huu wanaopitia viongozi wa juu karibu wote wa CHADEMA
Kwanza karibia wote wana kesi mahakamani, sasa ona hili,
Wakiwa mahakamani bungeni wanaitwa watoro,
Wakiwa bungeni mahakamani wanaitwa watoro,
wakifanya vikao...