Recent content by NKONKO

  1. N

    JamiiForums Tanzania Chama kina nguvu kuliko Serikali, hizo ndizo siasa za nchi yetu na za kikomunisti

    Ndoo maana hakuna mgombea binafsi unagombea kupitia chama uwe Rais,uwe Mbunge,Diwani na hta mwenyekiti wa mtaa Sasa chama ndicho kinakupa nafasi ya kugombea ili uende kutekeleza Yale ambayo wao kama chama wanataka ukayasimamie na ukipata nafasi hiyo watakufuatilia Kwa ukaribu kujua unafanya Yale...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Chama kina nguvu kuliko Serikali, hizo ndizo siasa za nchi yetu na za kikomunisti

    Watu mnajitoa ufahamu humujui kuwa nguvu ya chama inaanzia Kwa wananchi baada ya kukichagua ndipo chama kinakaa chini kuunda serikali hivyo hakuna Rais,waziri,Rc,DC na wengine mwenye ubavu wa kukikoromea Chama ndoo maana Rais Kwa madaraka yke moja Kwa moja anakuwa mwenyekiti wa chama ili kulinda...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Benki ya mkulima ipo? Na Kama ipo iko wapi?

    Hii benki inatumia jina tu wakulima ila ilipaswa iitwe jina benki ya mabepari mm nimeomba mkopo miaka zaidi ya miwili nimeambulia patupu na hakuna kusikilizwa sijui inakopesha wakulima gani kama mm ninalima shamba la zaidi ya ekari 40 Bado nikaonekana sina sifa ilinishangaza Kwa kweli na...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia kwa uchache Mtwara

    Nipo Mtwara huu Ni mwaka wa nne ww una kasumba ya dharau tu kwa Wana Mtwara umeongea porojo nyingi sijajua lengo lako Ni nn kiufupi Mtwara mm nashirikiana na wenyeji vizuri SNA mpka Sasa Nina ekari 40 ya mikorosho nimeipanda mwenyewe kwa msaada wa wenyeji hivyo nawaheshimu SNA .
  5. N

    JamiiForums Tanzania Fursa ya Kilimo cha Korosho Manispaa ya Lindi

    Mkaa mweusi unauliza Kama zinastawi au Nini unataka Nini fafanua zaidi tuweze kukusaidia
  6. N

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada detailed kilimo cha alizeti

    Mm nililima ekari kumi kutumia hiyo mbegu ya hysun 33 niliambulia gunia 22 yaan nilipata hasara tupu ujue humu watu wengine wanashawishi ili ununue mbegu zao wao wapige hela.alizeti inachangamoto kubwa wakati wa kupukuchua inakubidi uajit
  7. N

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Utawala wa Jakaya Kikwete ndani ya Miaka 10

    Chuo Cha serikali za mitaa Hombolo,BOT Mtwara na Dodoma. Kikwete hayupo wa kumlinganisha nae.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada kwa anayejua bei ya mashamba ya korosho huko Mtwara

    Mkuu Kama upo serious unahitaji shamba la mikorosho na jinsi ya kulima nipigie nipo Mtwara 0767108343
  9. N

    JamiiForums Tanzania Uko na mtaji na hujui ufanye biashara gari njoo tuungane

    Mkuu Nipigie 0767108343 tuyajenge
  10. N

    JamiiForums Tanzania Hii ndo tatu bora ya wagombea wa CCM

    Hii imekaa vizuri we jamaa unaona mbali
  11. N

    JamiiForums Tanzania Sichafuki kwa uongo, na uzushi kama huu ni wa kupuuza

    Mwigulu 2015 Rais wa Tanzania kabisaaaa
  12. N

    JamiiForums Tanzania CCM amueni kati ya hawa wawili

    Hotuba nzuri na zenye mwelekeo ya Tanzania inayokuja ni mwigulu pamoja na wasira tu wengine hamna kitu kabisa
  13. N

    JamiiForums Tanzania Mwigulu achukua fomu ya urais. Wabunge wamuunga mkono, akiri atawavusha

    Mwigulu lameck nchemba utatufikisha kwenye nchi ya maziwa na Asali kila la kheri
Back
Top Bottom