Habarini jaman!! Samahan naomba kuuliza hili litakuwa n tatizo gani maana toka jana nmekuwa na vidonda puan sijui shida ni nini...
yaani ndani ya pua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habarin za mida. Nina laini yangu ya Tigo imepotea na simu ya kitochi, sasa nngependa kujua procedure za kuirudisha namba yangu na nilikuwa nimeshaisajili kwa alama za vidole.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habarin za mida polen na majukumu nilikuwa napenda kujua kuna demu ametoa mimba alipewa kidonge kimoja cha kutoa na kingne akaanbiwa inabidi akiweke huku chin.Ila hakubahatika kukiweka ila leo akaenda kushafishwa na akaambiwa j5 arud kuweka kidonge uko chini . Lakin shda tumbo linamyonga hatar...
Primary : st Benedict STRIVE FOR EXCELLENCE
Secondary:Lutheran junior seminary THE FEAR OF THE LORD IS THE BEGINNING OF KNOWLEDGE
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wadau ni miezi sasa nimekuwa nasumbuliwa na kichwa na kizunguzungu nikifanya shughuli yoyote au kazi yoyote kwa muda kidogo.
Shida ni nini wadau?
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.