Recent content by nkole

  1. N

    JamiiForums Tanzania ukimwambia nakupenda hakujibu chochote

    tumeishi zaidi ya miaka minane,tumejaaliwa watoto 3,leo hii amenibadilikia,hanifurahii tena,kila siku afadhali ya jana,msaada please
  2. N

    JamiiForums Tanzania Hiki ni kipimo cha tabia?

    nakuunga mkono ndugu,siri ya mtungi,
  3. N

    JamiiForums Tanzania tujenge urafiki na waume zetu

    kweli ni majina tu,sijawah ishi kulasini wala sikujui
  4. N

    JamiiForums Tanzania tujenge urafiki na waume zetu

    umesikika mama kazi,
  5. N

    JamiiForums Tanzania tujenge urafiki na waume zetu

    limekukumbusha wapi?
  6. N

    JamiiForums Tanzania tujenge urafiki na waume zetu

    maudhi yapo kweli,lakini kucheka kidogo inakuwa shida,kitumbua kinaombwa kwa staili yake.
  7. N

    JamiiForums Tanzania tujenge urafiki na waume zetu

    jose hebu nimegee maujanja huenda yakanisaidia kwa mzee wangu
  8. N

    JamiiForums Tanzania tujenge urafiki na waume zetu

    joseph kumbe unajua eeeh!
  9. N

    JamiiForums Tanzania tujenge urafiki na waume zetu

    wengine hata humuombi kitu zaidi ya dushelel!lakini muda wooote kanuna,yani hadi una hesabu mwaka huu unaoisha tumecheka mara ngapi?kazi ipo
  10. N

    JamiiForums Tanzania tujenge urafiki na waume zetu

    hiyo ni kweli lakini wengine hata mwisho wa mwezi hawana furaha nyumbani,hana kitu hivyohivyo anachohivyohivyo zaidi ya dagaa kauzu
  11. N

    JamiiForums Tanzania tujenge urafiki na waume zetu

    hilo nalo neno king'asti
  12. N

    JamiiForums Tanzania tujenge urafiki na waume zetu

    chei chei wajameni, Hili swala la kujenga urafiki na waume zetu,linakuwa rahisi muda gani?mana wakati mwingine father house hata kukuangalia anakuiba? yani yupo zaidi ya serious!
  13. N

    JamiiForums Tanzania Swali kwa wanaume hasa walio kwenye ndoa...

    wengine kushukuru hawawezu hata kusifia jamani,lakin we wa nje wanawasifiajeeee?
  14. N

    JamiiForums Tanzania hodiiiiiiiii

    asenti
  15. N

    JamiiForums Tanzania hodiiiiiiiii

    duh nafumba macho
Back
Top Bottom