tujenge urafiki na waume zetu

tujenge urafiki na waume zetu

chei chei wajameni, Hili swala la kujenga urafiki na waume zetu,linakuwa rahisi muda gani?mana wakati mwingine father house hata kukuangalia anakuiba? yani yupo zaidi ya serious!
sasa mtu akiwa serious atakuombaje kitumbua??au anakubaka??? mi najua ili muinjoi sex na love lazima wote muwe kwenye hali ya furaha na amani ..mi hakuna rafiki home kama mke wangu...ila ukumbuke urafiki wa kweli huwa haukosi matatizo /maudhi ya hapa na pale....
 
maudhi yapo kweli,lakini kucheka kidogo inakuwa shida,kitumbua kinaombwa kwa staili yake.
sasa mtu akiwa serious
atakuombaje kitumbua??au anakubaka??? mi najua ili muinjoi sex na love
lazima wote muwe kwenye hali ya furaha na amani ..mi hakuna rafiki home
kama mke wangu...ila ukumbuke urafiki wa kweli huwa haukosi matatizo
/maudhi ya hapa na pale....
 
muda muafaka wa kujenga urafiki na mumeo ni wakati wa uchumba,unajua kipindi cha uchumba ni kipindi cha mapenzi motomoto ambacho unaweza kuwa huru zaidi na kipindi hicho ndicho kipindi ambacho kitaleta picha ya mbele ya wewe na mumeo ,kitendo cha watu kuficha tabia zao ndiyo chanzo cha majuto mbele ya safari, maana kama umeingia ndani ya ndoa na mumeo mkiwa serious asa kuanzisha urafiki ndani ya ndoa na ingali tayari mna familia inawangoja inahusuuuuu! ni lazima iwe ngumu kuliko , kwa walio kwenye ndoa waanze urafiki wakiwa chumbani hasa kwa wakati wa mahakuli ya kiutu uzima maana ndio sehemu watu husikilizana zaidi au kwa kumtumia mumeo sms nyingi kila mara ukiweleza ni jinsi gani unajisikia uko juu zaidi unapokuwa nae na kama wote wafanyakazi mkirudi home jitahidi uwezavyo kuwa karibu zaidi na mumeo kuliko kupiga soga au kung'ang'ania jikoni muda wote huku mumeo akiwa peke yake chumbani au sebuleni. thx.
 
We ukitaka urafiki na mumeo usimuombe HELAAA!!!!! Period! Mpaka ajisikie kukupa!!!!!!! Hapo swadaktaaaa! Papushka ananunaa haswaa akihisi kupigwa mizinga!

Kuna kipindi nilivokuwa mdogo Mamushka ananituma kamwambie baba yako nahitaji hela kadhaaa, na akikataa unganganie hadi nipewe. LOL!

lara 1 nakubaliana na wewe kwa kiais fulan, yaani mume kama humombi hela mtakuwa friends daima ila tu umwambie sijui naomba mafuta ya gari, sijui hela ya salun yaani mtagombana ama kuchuniana tu,

sasa swali hivi hawa wanaume wanataka nani awe anahudumia wake zao??
 
umesikika mama kazi,
muda muafaka wa kujenga
urafiki na mumeo ni wakati wa uchumba,unajua kipindi cha uchumba ni
kipindi cha mapenzi motomoto ambacho unaweza kuwa huru zaidi na kipindi
hicho ndicho kipindi ambacho kitaleta picha ya mbele ya wewe na mumeo
,kitendo cha watu kuficha tabia zao ndiyo chanzo cha majuto mbele ya
safari, maana kama umeingia ndani ya ndoa na mumeo mkiwa serious asa
kuanzisha urafiki ndani ya ndoa na ingali tayari mna familia inawangoja
inahusuuuuu! ni lazima iwe ngumu kuliko , kwa walio kwenye ndoa waanze
urafiki wakiwa chumbani hasa kwa wakati wa mahakuli ya kiutu uzima
maana ndio sehemu watu husikilizana zaidi au kwa kumtumia mumeo sms
nyingi kila mara ukiweleza ni jinsi gani unajisikia uko juu zaidi
unapokuwa nae na kama wote wafanyakazi mkirudi home jitahidi uwezavyo
kuwa karibu zaidi na mumeo kuliko kupiga soga au kung'ang'ania jikoni
muda wote huku mumeo akiwa peke yake chumbani au sebuleni. thx.
 
Tatizo tukizoeana sana mnaanzaga KUTUJIBISHA JIBISHA BILA HOFU.Hapa kauzu tu.
 
Yaan nashindwa kuelewa ni aina gani hii ya mahusiano isiyo na urafiki...
Mie kwangu measkron ndio kila kitu, anajua wakati wa kunichekesha, kunitania, kunionya, kunibembeleza...
She is my best friend kwa kweli nami kwake hivyo hivyo...

mume wangu kipenzi watu8 umenena vyema kabisa, sina cha kuongeza hapo, natumaini na shosti King'asti amekusoma
 
Last edited by a moderator:
Ukiwa na mwanaume ambae yuko serious sana ni mtihani kwa kweli, yani muda woote kanuna utadhani mmegombana, na kama mnatembea barabarani yeye utamkuta yuko mbeleeee wewe nyuma. Mtu kama huyu sijui unaanzia wapi kumfanya rafiki yako.
 
chei chei wajameni, Hili swala la kujenga urafiki na waume zetu,linakuwa rahisi muda gani?mana wakati mwingine father house hata kukuangalia anakuiba? yani yupo zaidi ya serious!

muda mzuri ni ule wa majambozi baada ya hapo ni kurudi tu kwenye uso mbuzi............
 
chei chei wajameni, Hili swala la kujenga urafiki na waume zetu,linakuwa rahisi muda gani?mana wakati mwingine father house hata kukuangalia anakuiba? yani yupo zaidi ya serious!

Marry your best friend .Dont marry a stranger.wanaume wengi wanaoa wanawake ambao wamewajua muda mfupi na wanawake pia.
 
wengine hata humuombi kitu zaidi ya dushelel!lakini muda wooote kanuna,yani hadi una hesabu mwaka huu unaoisha tumecheka mara ngapi?kazi ipo

Red: hata hapo anakuwa kanuna..?
 
Back
Top Bottom