Usipotunza tutakulazimisha,maana ni Kwa faida yako na kizazi chako wewe usiyejitambua.Siku ukitoka hapo Kwa shemeji yako ndipo utakapoelewa umhimu wa amani.Kwa Sasa kula kulala huwezi elewa maana ya huu ujumbe,Kwa hiyo Lazima tukulazimishe.
Wakuu....! bila kupepesa macho,naziomba mamlaka kutoa onyo Kali sana wakati huu dhidi ya wafuasi na mashabiki wa Simba walipokuwa wanazomea na kutoa lugha isiyostahili dhidi ya raia namba Moja wa nchi yetu.
Katika kipindi hiki ambapo tunatekeleza azima ya kuilinda nchi yetu dhidi ya makundi...
wanapenda fujo,matusi na wanaeneza chuki kuliko kupambana na maisha yao binafsi.Watu waliopoteza mwelekeo na matumaini.Hawataki kujituma kufanya kazi,wanataka maisha yake Kwa miujiza
Heko kwako kiongozi mchapakazi, msema ukweli na mzalendo wa kweli wa nchi yetu, Tanzania, Daktari Mwigulu Nchemba.
Kila mahali unapopita tunakuelewa. Sisi wananchi, wakulima na wafugaji hatuna faida yoyote tunayoweza kupata kwa hawa wanaharakati uchwara wanaotaka kutugombanisha wenyewe kwa...
Kwa kuwa nimeamua kuwa balozi mtiifu wa Amani katika nchi yangu ninayoipenda,sitachoka kuwafunda wale wanafiki wachache wanaojifanya watanzania huku wakiishi ng'ambo bila kujua adha tunayoweza kupata Sisi tunaoishi humu humu nchini.
Watu hawa wanachochea, kushabikia, kushadadia, kuunga mkono...
Nimekwambia amka ndotoni utajinyea bure...! Hapa Tayari umeshaandamana.Hakuna anayehitaji hayo maandamano.Mfanya biashara mwenye Duka kariakoo yatamlipia chumba miezi mingapi? Baba mwenye watoto wawili shule yatamchangia Karo kiasi gani? Mwanafunzi wa kidato cha nne yatamsaidia kujibu maswali...
Hakuna atakayeandamana.Labda kama ni maandamano ya kutoka hapo kwa shemeji yako ukajitegemee.Unashindwa kujishughulisha,unalala mpaka saa nne asubuhi,unaamka kuelekea kijiwe cha kahawai mpaka saa kumi kusubiri mpira utakumbuka kufanyakazi saa ngapi.Amka Acha hayo mawazo,toka ndotoni utajinyea bure
Basi tuma hao waandamanaji ila hakikisha hawafiki tena kwenye biashara zetu,safari hii tutawang'oa kende.Hatutakubali tena kumdi la watu kudhuia shughuli za wengine kwa maslahi yao ya kisiasa.
Binafsi nitaendelea kuwa balozi mtiifu wa Amani maana najua madhara yaliyotokana na maandamano Yale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.