Recent content by Nkobhe

  1. Nkobhe

    Hongera sana Hussein Bashe

    Huwa Akili inapotea wanapokuwa mawazili humuoni nape alivyo kuwa ni tofauti na sasa hivyo basi akae hivyo hivyo
  2. Nkobhe

    Matokeo ya Bunge la Afrika Mashariki: Saba washinda, Mnyaa safi, Wagombea wa CHADEMA waangukia pua

    Niko hapa live TBC wako na hifadhi ya saadani tuuuu hakuna hata update yoyote
  3. Nkobhe

    Matokeo ya Bunge la Afrika Mashariki: Saba washinda, Mnyaa safi, Wagombea wa CHADEMA waangukia pua

    hapa naona ccm wanamwaga mboga kwa plan b baada ya plan a kufel
  4. Nkobhe

    Utabiri: Nape kuwa Katibu Mkuu wa CCM, aandaliwa kumrithi Kinana

    wamuweke tuuuu ule wa sadism is inevitable ule anafaaa sana ule jamaaa
  5. Nkobhe

    Dr. Dalaly Kafumu: Kusema ukweli uamuzi wa Rais katika suala la mchanga utaligharimu taifa baadae

    kumbe ndio maana katumbuliwa na Dr kafumu na usomi wake hakupewa wizara yyte nacho myshukuru Mungu Jpm huwa anakupima uzarendo wako kwa nchi ndio unapewa wizara ukizingua tuuuu unapigwa za uso wazi wazi
  6. Nkobhe

    Manji achukuliwa na gari la wagonjwa (ambulance) kutoka kituo cha polisi kati

    mhuuuuu mhuuuuuu yamekua hayo tena
  7. Nkobhe

    Kigoma JF users connect

    ubhuki ulisha indosho wi shavu ameneke
  8. Nkobhe

    Harakati za kusaka ajira zinaendelea sasa NFT

    wasiwe kama regent consultant matapeli wengi sana siku hizi
  9. Nkobhe

    Ukweli kuhusu hii company kama imesajiliwa na serikali REGEN CONSULTANTS CO. LTD

    mimi mwenyewe nimetumiwa hio email na SMS sijawaelewa kabisa Mbaya zaidi ni hio 20000 sijaijua iseeee wataalamu njooni mtusaidie na deadline ya kulipa hio hela Leo saa nimeingia kwenye website yao sijaielewa vizuri
  10. Nkobhe

    TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

    Kazi ya Mungu haina makosa apumuzike kwa aman
  11. Nkobhe

    Rais Dkt. Magufuli ahudhuria ibada ya Christmas mjini Singida, atoa Siri ya Ushindi wake wa 2015

    Hivi nyie ukawa hamnaga jema wala baya yote hivi ni sawa!!!!!!!!!!! huwa naaangalia comment zenu zote ni za kinafiki mno laaaa sijui mnataka lipi hapa Tanzania ufisadi ilikua ajenda yenu sasa hivi mnawatetea, Dr Presida kaenda kusali hamtaki, sikuhizi vya mchakato havipo nyie mnavitaka vya...
  12. Nkobhe

    Gazeti la the Citizen, Waziri Mwigulu Nchemba & JamiiForums: The 5th estate Strikes back

    Ni kweli iseee sie ambao hatuna upande tunaingia king bila kujijua wengine wakiwa kazini na tunajifanya kuchangia bila kujua impact ya baadae
  13. Nkobhe

    TANZIA: Aliyekuwa Spika wa Bunge la tisa, Samwel Sitta afariki dunia

    Pumzika kwa Amani Mzee Sitta. Pole kwa Mama Magreth Sitta na familia nzima
  14. Nkobhe

    Rais Magufuli aagiza watumishi wawili waliomdanganya JNIA kuchukuliwa hatua

    wewe nafikili hujielewi na kama ni mihemuko kahemukie kwa mkeo bwana mdigo
  15. Nkobhe

    Barua ya Baraza Kuu la CUF kwenda kwa Msajili wa Vyama vya Siasa

    sio barua hio Bali ni hotuba sasa!!!!!!! someni nyie kwanza
Back
Top Bottom