Harakati za kusaka ajira zinaendelea sasa NFT

yello masai

JF-Expert Member
Jan 8, 2016
3,635
3,658
Habari wana jukwaa.
Naomba anayewajua NFT recruitment anipe maelezo kidogo (information) kuhusu wao.

Je wanarecruit kwa niaba ya kampuni zipi?

Je wanapokea CV mkononi?

Muhimu zaidi: Wanapatikana sehemu gani?

Natanguliza shukurani.
 
Ulizia ofisi za NEMC zilipo, ukifika hapo utaona bango la NFT... Nemc ipo mikocheni shuka kituo cha daladala Victoria
 
Back
Top Bottom