Kati ya Wabunge niliyowavulia kofia ni Mhe. H. Bashe. Mhe.Bashe anapowasilisha hoja yake anaiwasilisha kwa mpangilio, ufasaha na hoja iliyojaa takwimu. Namshauri Mhe. Rais kumteua Mhe. Bashe kwenye Uwaziri na atakuwa msaada mkubwa sana kwa Rais. Kweli wananchi wa Nzega hamjakosea kumchagua Mhe. Bashe. Huyu Mhe.ana uwezo mkubwa sana.