Recent content by nkilondama

  1. nkilondama

    Pata Mbegu bora za Mbaazi, Choroko, Dengu na ushauri wa Kilimo Biashara

    Kwa ekari moja naweza kutumia kiasi gani mkuu? Duh masasi mtwara mbali kinoma
  2. nkilondama

    Pata Mbegu bora za Mbaazi, Choroko, Dengu na ushauri wa Kilimo Biashara

    Wakuu habarini za wakati huu nahitaji kujua ni wapi zinapatikana mbegu bora na zilizothibitishwa kitaalamu za choroko maana kwa sisi wakulima wa pamba ni kheri tulime choroko tu
  3. nkilondama

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Unazingua kinoma si bora ungeficha hizo namba?
  4. nkilondama

    Ni Wiki ya pili hii nawashwa kwanzia sehem za siri, mapaja mpaka tumboni

    Nitajaribu kutumia hiyo dawa aiseeee maaana hali haiko poa sana
  5. nkilondama

    Nini kinaendelea kati ya viongozi wa Simba na Manara?

    Inakusaidia nini wewe viongozi wa simba wakipost picgmha za harusi ya manara?
  6. nkilondama

    Ni Wiki ya pili hii nawashwa kwanzia sehem za siri, mapaja mpaka tumboni

    Aiseee mimi mwenyewe hili tatizo linanisumbua sana tangia mwezi 10 dawa ambazo nimetumia mpaka sasa predrisolin, loratadrn, hydrocortisone cream, skderm cream, celestamine, dexamethasone sindano 6 lakini holaaa yaani ninapotumia dawa tatizo linapungua Ila ukimaliza dozi tu tatizo linarudi...
  7. nkilondama

    Wachambuzi wa soka wa Kitanzania na Simba

    Sasa unataka wacheze wote we
  8. nkilondama

    Kwa walioachana japokua wanapendana

    Tafta pesa, wewe tafta pesa tu
  9. nkilondama

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naimani mpaka muda huu hatakuita kaka tena Sent using Jamii Forums mobile app
  10. nkilondama

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Nitaleta mrejesho kesho Sent using Jamii Forums mobile app
  11. nkilondama

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Uuuuuuwi leo na mimi nakula tunda kimasihara[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimekutana na mtoto kwenye Basi Sent using Jamii Forums mobile app
  12. nkilondama

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sasa elfu 15 pesa ndogo hiyo nishawahi kupigwa kama 780k kwa siku moja halafu hela hiyo nilikuwa nadaiwa na mtu nilipanga kumpa siku ile siju jini gani lilinipeleka kwenye moja ya shop za kubetishia hapa mjini mwanza weee kuanzia siku ile huwa sitamani hata kuingia kwenye lile jengo na nikipita...
  13. nkilondama

    Brazil: Mama amuua mtoto wake kwa sababu ya kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja

    Aiseeee bila shaka wewe ni punga FULL STOP
Back
Top Bottom