Mwingine huu hapa, ni juzi tu bwana mmoja alienda M-pesa akaomba huduma ya k utoa akaambiwa sawa, wakati akiendelea utaratibu wa kutoa, mara aaah shit! Imezimika,akamwomba m pesa am-boostie, akajieleza ana mgonjwa wamemleta hosp jirani na hapo akaomba 20000 apeleke hosp. zinahitajika haraka...