Recent content by nkeriankung'ure

  1. N

    Lowassa kurejesha fomu kesho

    Kurudisha fomu sawa lakini mitaani hofu kubwa imetanda watu wanataka kujua msimamo wa Dk slaaa.
  2. N

    Dk. Slaa ajiuzulu CHADEMA, Akasirishwa Lowassa kupokelewa bila masharti!

    Ni vyema Dk slaa akajitokeza na kuweka bayana msimamo wake make kwa sasa hali ni ya sintofahamu
  3. N

    Kwanini Lissu, Mnyika, Slaa na wengine hawakuwepo kwenye mapokezi ya Lowassa?

    Slaa yuko nje ya nchi kwa ziara ya kikazi.
  4. N

    Sikubaliani na hoja ya Lowassa Kujiengua CCM na Kujiunga CHADEMA/UKAWA

    Leticia mageni nyerere hakuwa mpenda mageuzi alikuwa pro shibuda kitambo sana
  5. N

    Halmashauri ya Wilaya Geita na Mchezo Mchafu Katoro

    Katoro haiwezi kuwa makao makuu ya wilaya geita kuwa makao ya wilaya hiyo yako geita mjini,labda kukianzishwa wilaya mpya ya busanda.
  6. N

    Mulongo: Mbowe ana tamaa ya fedha. Amehongwa kumkaribisha fisadi ndani ya CHADEMA

    Mulongo anasema nyumba ya rc haina hadhi ya yeye kuweza kuishi ndo maana amepangishwa na huyo mfanyabiashara
  7. N

    Mulongo: Mbowe ana tamaa ya fedha. Amehongwa kumkaribisha fisadi ndani ya CHADEMA

    Mulongo ni mjita wa mwibara sio mkurya huyo wakurya huwa hawana unafiki.mulongo aishi hotelini anaishi ktk nyumba ya mkurugenzi wa Vick fish iliyopo capripoint baada ya serikali kuzidiwa na bili ya hoteli ya kifahari ya malaika aliyokuwa anaishi
  8. N

    Mulongo: Mbowe ana tamaa ya fedha. Amehongwa kumkaribisha fisadi ndani ya CHADEMA

    Mulongo naona haijui Mwanza vizuri,aache kutuletea ukabila eti Mwanza mjini ni wasukuma wakati zaidi ya robotatu ya wakazi si wasukuma.
  9. N

    TBC kama kawaida washaanza kuonyesha vita ya Kagera

    Wanaonyesha sasa hivi kwa sababu jumamosi taifa linaadhimisha siku ya mashujaa.
  10. N

    Kikwete tutakukumbuka kwa BVR

    Sema utamkumbuka jk usitusemee wengine BVR zenyewe hakuna maandalizi zoezi linaendeshwa kwa pupa hakuna wataalam na vifaa vya kutosha watu tumehangaika ktk foleni siku tatu ndo tuandikishwe
  11. N

    TARIME MJINI: Ester Matiko chaguo la wananchi

    Amang'ana kasarikire thatha.
  12. N

    Buhohela analipwa na ITV, Magufuli au CCM?

    Analipwa na magufuli na si chama wala ITV make ktk msafara wa magufuli yuko buhohela,maela,Chacha na wapiga picha wawili.john Chacha kachukuliwa na ccm kufanya coverage,Emmanuel buhohela kaitwa na magufuli na Sam mahela naye yuko anatafuta fursa
  13. N

    Mji wa Geita wasimama, Maelfu wampokea John Magufuli akiwa njiani kuelekea Chato

    Mwanadiwani huo ni mtizamo wangu kama ulivyomtizamo wako kusema haijawahi kutokea kama mapokezi ya magufuli ktk maeneo ya chato,geita na katoro wadanganye wasioyafahamu maeneo hayo.kumbuka mwezi Jana mlikuwa na kinana pande hizo mbona mikutano yenu ilipata umati kama huo.yeyote atakaye na aje...
  14. N

    Jumanne Kishimba tajiri wa Mwanza nae ajitosa kugombea Ubunge Kahama

    Lembeli hakubaliki Kahama kiasi hicho unachotaka tuamini hata 2010 ilikuwa hati hati kushinda zidi ya mgombea wa Chadema. Nani anakubalika hapo kahama?
Back
Top Bottom