OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
Pamoja sana..... Njia ya Ikulu nyeupe kabisa, huku mitaani ni Lowassa tu kila kona, kila chimbo na kila mtaa...
Ulipo tupo
ccm wana hujuma wata kata umeme
Ganda la muwa la jana....chungu kaona kivuno
Kwahiyo wadhamini wake aliowapatia kule ugambani ndo anawatumia huko cdm ..au wadhamini kawapata lini?