TARIME MJINI: Ester Matiko chaguo la wananchi

gimanini

JF-Expert Member
Jun 20, 2015
1,741
1,754
Kila unapopita sehemu mbalimbali za mji wa Tarime,jina linalotamkwa ni la Mhe.Ester Matiko ambaye ni kipenzi cha wengi,na kila mtu anatarajia kuwa atapitishwa na CHADEMA ili agombee ubunge ktk jimbo la Tarime Mjini,na Iwapo hatachaguliwa wengi wa wananchi wameaapa kutompigia kura yeyote atakaechaguliwa na wajumbe ktk uchaguzi wa trh.23 July.na matokeo yake ni kumpigia kura mgombea yeyote wa CCM.
 
Hii ni ILANI kwa watu wa zamani au kwa lugha ya kitaalamu..(ZYNJOPHROPUS)
Hamuna haja ya kurudi tena bungeni....mutatukanwa na wajukuu zenu kwa ulafi na tamaa.
 
Kila unapopita sehemu mbalimbali za mji wa Tarime,jina linalotamkwa ni la Mhe.Ester Matiko ambaye ni kipenzi cha wengi,na kila mtu anatarajia kuwa atapitishwa na CHADEMA ili agombee ubunge ktk jimbo la Tarime Mjini,na Iwapo hatachaguliwa wengi wa wananchi wameaapa kutompigia kura yeyote atakaechaguliwa na wajumbe ktk uchaguzi wa trh.23 July.na matokeo yake ni kumpigia kura mgombea yeyote wa CCM.

Huo ni utoto sasa, umetumwa kupima upepo au?
 
Acha uongo wako!!!
Tuachie wana Tarime tufanye maamuzi bila kuyumbisha upepo!
 
huyo mdada ni mpambanaji. Tatizo ni moja MURA hawa wahatakubali kuongozwa na mwanamke.........ni mwiko kabisa..........aka wana mfumo dume mpaka kiama.
 
Yaani 50 kwa 50 hakuna huko....na kama angepita Balozi Amina halafu akachaguliwa kuwa Rais ingekuwaje..????
 
Kila unapopita sehemu mbalimbali za mji wa Tarime,jina linalotamkwa ni la Mhe.Ester Matiko ambaye ni kipenzi cha wengi,na kila mtu anatarajia kuwa atapitishwa na CHADEMA ili agombee ubunge ktk jimbo la Tarime Mjini,na Iwapo hatachaguliwa wengi wa wananchi wameaapa kutompigia kura yeyote atakaechaguliwa na wajumbe ktk uchaguzi wa trh.23 July.na matokeo yake ni kumpigia kura mgombea yeyote wa CCM.

Hakatwi mtu, naye ni mafuriko!!HAhahaaa kwanza tuone na chadema kama watazuia mafukriko kwa mikono
 
kila unapopita sehemu mbalimbali za mji wa tarime,jina linalotamkwa ni la mhe.ester matiko ambaye ni kipenzi cha wengi,na kila mtu anatarajia kuwa atapitishwa na chadema ili agombee ubunge ktk jimbo la tarime mjini,na iwapo hatachaguliwa wengi wa wananchi wameaapa kutompigia kura yeyote atakaechaguliwa na wajumbe ktk uchaguzi wa trh.23 july.na matokeo yake ni kumpigia kura mgombea yeyote wa ccm.

tarime hawawezi kumchagua mwanamke kuwa mbunge bana.kembaki juu sana
 
Back
Top Bottom