Recent content by Nkenangere

  1. Nkenangere

    Mama Samia: Hakuna aliyetarajia msiba wa Rais Mkapa kwa sababu hatukusikia kuumwa kwake, tumesikia msiba wake. Ni msiba mzito na umekuja kwa mshtuko

    Kwamba marehemu rais mstaafu alikuwa amelazwa hospitalini si siri tena maana Magufuli ameliambia taifa. Shida inakuja pale alikolazwa na ugonjwa uliosababisha kifo chake vinafanywa siri, jambo lililo kinyume na sheria za nchi. Pia usiri huo unapelekea kuwepo umbeya na uvumi mwingi. Ilikuwa hivyo...
  2. Nkenangere

    Mishahara na posho za wabunge zina maswali mengi

    Malipo ya wabunge nchini ni makubwa mno kulinganisha kazi zao za kupitisha miswada ya hovyo. Hawajawahi kukataa kupitisha sheria hata ni mbaya kiasi gani. Kiukweli sijui ni kwa nn wananchi wanawachagua. Baadala ya kuwawakilisha wananchi vizuri, wanawakili maslahi ya serikali. Tafsiri yangu ya...
  3. Nkenangere

    CCM 2020 itaangushwa na Hali ngumu ya maisha tuliyonayo wananchi wa kawaida Chadema itakuwa ni Sabab

    Vyama vya upinzani wakatafute kura vijijini ambako ziko nyingi. Wananchi wengi huko hawanjwi chai tangu bei ya sukari. Hilo liko wazi kwao. Mijini wananchi wana mwamko. Wanaona namna wahitimu wa vyuo wa wakulima wanavyohangaikia ajira akiambiwa wajiajiri wakati watoto wa vigogo wanajiriwa...
  4. Nkenangere

    Baada ya kumpata Membe ACT-Wazalendo isimame kivyake CHADEMA hawaaminiki, Julius Mtatiro ni ushahidi tosha

    Mtu akiumwa na nyoka, akiona kamba anadhani ni nyoka-once bitten, twice shy.
  5. Nkenangere

    CHADEMA yazidi kubomoka

    Mwandishi wa uzi huu yupo sahihi kuchagua upande. Serikali ya ccm inafanya kosa kubwa kwa kuamua kuua upinzani nchini. Madhara ya unaloshabikia yako njiani na mtayaona baadaye. Kwenye vita ndivyo inavyokuwa: unamkabili adui yako kwa silaha uliyo nayo bila kujali ni majeruhi labda kama akisalimu...
  6. Nkenangere

    Ukiwa usalama wa taifa unaapa kutumikia taifa lako mpaka mwisho

    Reform kubwa ya vyombo vyetu vya ulinzi na usalama taifa hili inatakiwa kufanywa. Hadi majuzi JWTZ ilikuwa credible kwa majukumu yake ya ulinzi wa mipaka ya nchi yetu. Nalo tunaona trend ya kuanza kuli-corrupt na kuchafuliwa na serikali kwa interest zake. Hakuna ubishi kuwa TISS na POLICE...
  7. Nkenangere

    Zitto Kabwe: Tanzania tunadaiwa jumla ya shilingi trilioni 8.4 kutokana na kesi kubwa nne za kimataifa

    Dawa ya deni ni kulipa. Hoja ni kuwa madeni hayo yametokana na uzembe wa serikali. Aidha, mzigo ni wa wananchi kwa fedha ambazo hazikuwanufaisha. Ni kama vile zitatupwa jalalani.
  8. Nkenangere

    Gambo ‘kwa unyoonge’ akabidhi ofisi Arusha

    Nimefurahi na kitendo cha Gambo kutumbuliwa. Alukuwa hajui hajui. Bado hawa: RC wa Dar, RC wa Manyara, RC wa Njombe, RC wa Tanga, RC wa Iringa, na RC wa Mbeya.
  9. Nkenangere

    Bilioni 85 zilizotumika katika miradi ya maendeleo Bunda kumng'oa Ester Bulaya

    Una haraka sana Nyanswe Nsame. Uchaguzi bado kufanyika. Tayari mna kura zenu ndani ya sanduku la kura? Pengine mmesahau nguvu ya umma iliyolinda kura zake. Una mwendo kasi mkubwa sana kiasi cha kushindwa kutambua ulichoandika. Udhaifu kichwani mwako unakuaminisha kuwa Upinzani unakusanya mapato...
  10. Nkenangere

    Shibuda: Wapinzani tushirikiane na CCM kwani Ukuni na Ukuni ndio huivisha chungu

    Atakaye mshangaa Shibuda wa TADEA amshangae Mrema wa TLP. Bwn Mapesa hajatoa kauli ya UDP. Hao wamejitanabaisha na ruzuku. Wako upinzani si kwa ajili ya kuwaongoza wananchi kupata mabadiliko ya kisiasa nchi. Vibaraka hawa wana athari kubwa sana katika siasa za nchi. Ni wasindikizaji wa chama...
  11. Nkenangere

    GE2020 Dalili ya mvua ni mawingu. Vyama vya upinzani vimekubali kushindwa kabla ya mtanange kupigwa

    Jadi ya mjinga, kwa maana ya asiyeelewa, ni kuwafanya wenzake watu wengine wajinga. Lowasa, akingali PM, aliwahi kuonya kuwa ukosefu wa ajira ni bomu la kitaifa. Wapenda mabadiliko wanashukuru kuwa kilichofanyika mpaka sasa kujenga shule za Kanumba maana nazo zimeongeza jeshi la wanamabadiliko...
  12. Nkenangere

    Dini na ukabila zisihusishwe na Taasisi ya Rais

    Mtoa uzi huu ni mpumbavu mmoja hivi kwa maana kuwa haelewi, na hata akielezwa hataweza kuelewa. Akili pekee aliyoionesha ni kuleta huu uzi. Kwa kuuleta anakiri uwepo wa aina za ubaguzi aliojaribu kushawishi wananchi wasiuone. Ajibu maswali haya: √kachimbua wapi neno "ubaguzi"? √anajua kuna...
  13. Nkenangere

    GE2020 Dalili ya mvua ni mawingu. Vyama vya upinzani vimekubali kushindwa kabla ya mtanange kupigwa

    Uchaguzi utafanyika 2025: > Kutakuwa na Katiba Mpya, >Itaongezeka idadi ya wapiga kura vijana wasomi, >idadi ya wapiga kura wazee wajinga wafia ccm itakuwa ndogo, na >wanachi watakuwa wameamka kisisa.
Back
Top Bottom