Lakini mzee Makamba alituambia Mjomba aliwabatiza kwa maji ila huyu yeye atawabatiza kwa moto.
Acha tunyooshwe tulizoea lelemama. Shida huleta maarifa & we learn through mistakes.
Sawa kabisa mkuu. Kifaranga wa miezi 2 anauzwa 5000 huku Sengerema. Kama unao 100 ni sawa na 500,000. Aisee kuku wa kienyeji wanalipaaa ishu iko kwenye chakula tu. Ukiwamudu unajikwamua kabisaaa
Turudi kwenye maandiko. Maaskari walimuuliza Yesu kuwa Eh bwana na sisi tufanyeje? Wakajibiwa TOSHEKENI NA UJIRA WENU. sio miimi jamani ni maandiko wapendwa.
Habari ndugu zangu. Naitwa Mwl Madnja RF nipo Sengerema. Natafuta kuku aina ya kuchi, wale wasio na manyoya mengi, wenye mdomo mfupi sana. Pia soko lake likoje? Mwenye nao tuwasiliane kwa Whatssap kupitia 0757957925
Mimi binafsi sijapenda hiyo cut point yao ya 3.5 GPA. Nayaona haya kama ni maamuzi kandamizi kwetu sisi watoto wa makabwela. Naomba wizara ifanye utafiti upya. Diploma kuna madaja ya ufaulu km First class,Second na third/pass.
Second class imegawanyika makundi mawili Upper & lower second. Upper...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.