tatizo TUCTA wanalilia hela za kunywea bia na kuhonga sio maisha magumu!Mgaya kila siku tupo nae kwenye kilaji,amchague Rais atakaye mjaza manoti.kwa ninavyojua mtu yoyote hata umpe hela kiasi gani haridhiki.au nani aseme anaridhika na kiasi gani cha fedha???hakuna!!!!!!!!!!!!!!!
kwakweli ktk hili mmetuaibisha,m/kiti kuingilia uchaguzi wa wanawake si umwachie mkeo bac ashughulikie?lazima uende wewe?tumeamini CHADEMA bila uchaga haiwezekani!
tatizo wanasiasa waliopevukia uzeeni wanatia aibu ktk nchi hii,unapoamua kuwa mwakilishi wa jimbo fulani hakikisha unatekeleza kwa vitendo mahitaji ya wananchi wako.unapoamua kwenda bungeni na kuingilia bifu za kumkandamiza fulani huku wananchi wako hawana maji safi,barabara...
ninapenda sana kuona uongozi wa vijana ktk nchi hii,alipokatishwa Zitto uenyekiti ili baadae agombee urais niliona kweli wazee wa CHADEMA ni waoga kwa vijana na ndio maana kumekuwa na kambi zikipingana ktk Chaguzi za Mabaraza ya Chadema.sifurahishwi na ukandamizaji wa vijana,vijana mkiamua embu...
watanzania tumejaliwa midomo ya kuchonga hata ukipewa mada itayohusu kunanihii wazazi wako utachonga tu!!!!!!!!!!!
tarehe 31 october siku ya kujua mbivu na mbichi!kura ni siri yako
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.