Shalom
JF-Expert Member
- Jun 17, 2007
- 1,315
- 124
Kwa ujumla haeleweki atakuwa kaugua ugonjwa fulani ila siyo malaria sugu japo unakaribiana na huo.
Dengue fever
Kwa ujumla haeleweki atakuwa kaugua ugonjwa fulani ila siyo malaria sugu japo unakaribiana na huo.
typical example of a GREAT SINKER!!!
How dare you say that wakati chadema has been very forefront kwenye kutoa nafasi kwa vijana kujiexpress...
unajua cheo cha zitto wewe kwenye chadema je unaweza kulinganisha na counterparts CCM au KAFU
Unajua nafasi ya Mnyika? unaweza kuweka pamoja na wale pensioners wa KAFU na CCM?
Umeona role ya Kitila chani ya CHADEMA , je nisawa na wale wazee wanaotumia denture pale lumumba??
Njorii... Just an advice, do your homework before you hit the keyboard, otherwise utakua great sinker or stinker,
Hebu wewe kama kijana gombea CCM uwatoe hawa matineja
1.MSEKWA
2.A.ABDALLA
3.KINGUNGE
4.MAKAMBA
5.MALECELA
6.NA KADHALIKA
understood!haya chukua hiyo:typical example of a GREAT SINKER!!!
How dare you say that wakati chadema has been very forefront kwenye kutoa nafasi kwa vijana kujiexpress...
unajua cheo cha zitto wewe kwenye chadema je unaweza kulinganisha na counterparts CCM au KAFU
Unajua nafasi ya Mnyika? unaweza kuweka pamoja na wale pensioners wa KAFU na CCM?
Umeona role ya Kitila chani ya CHADEMA , je nisawa na wale wazee wanaotumia denture pale lumumba??
Njorii... Just an advice, do your homework before you hit the keyboard, otherwise utakua great sinker or stinker,
Wengine ni Rostam, Lowasa, Karamagi, Makamba, Malechela na Mungaininapenda sana kuona uongozi wa vijana ktk nchi hii,alipokatishwa Zitto uenyekiti ili baadae agombee urais niliona kweli wazee wa CHADEMA ni waoga kwa vijana na ndio maana kumekuwa na kambi zikipingana ktk Chaguzi za Mabaraza ya Chadema.sifurahishwi na ukandamizaji wa vijana,vijana mkiamua embu songa mbele usirudi nyuma hakuna wakati wa mtu hapa maana hatuna guarantee ya MAISHA!
kila m2 yuko huru kutoa mawazo yake,kwangu niliona Zitto angefaa kuliko Slaa!hata CHADEMA wanajua bac 2 wazee lazima wasikilizwe
ninapenda sana kuona uongozi wa vijana ktk nchi hii,alipokatishwa Zitto uenyekiti ili baadae agombee urais niliona kweli wazee wa CHADEMA ni waoga kwa vijana na ndio maana kumekuwa na kambi zikipingana ktk Chaguzi za Mabaraza ya Chadema.sifurahishwi na ukandamizaji wa vijana,vijana mkiamua embu songa mbele usirudi nyuma hakuna wakati wa mtu hapa maana hatuna guarantee ya MAISHA!

Malaria Sugu= Masonjo=Njori= Faithful kwahiyo usishangae
jana nilipokuwa nikisoma gazeti la mwananchi na kukuta makala inayozungumzia mikakati ya chama cha CUF katika uchaguzi huu unaokuja.
katika jambo lililonishangaza ni maneno ya Prof Lipumba kuelezea ni kwa nini upinzani usismamishe mgombea mmoja au yeye kumuunga mkono Dr slaa.
alieleza kwa ufasaha kabisa kuwa ilionekana kuwa vyama vyote vya upinzani vilikusudia kutosimamisha wagombea, kwa maana Mzee MRema alionesha mapema kuwa chama chake kinamuunga mkono mheshimiwa Kikwete na yeye binafsi kutangaza kuwa atawania Ubunge jimbo la vunjo. wakati huo huo mheshimiwa Wa WAPUKI(Mbowe) akitangaza kugombea ubunge kwao huko. na Cheyo hali kadhalika.
sasa wao wakasema haiwezekani JK apite hivi hivi bila ya kugombea na hivyo akatangaza nia mapema tu. ila la kushangaza baada ya kutangaza na kujipanga ndipo akina DR Slaa na wengine wakajitokeza sasa anasema imechelewa sana kujipanga kwa hili.
ila kuhusu ubunge na udiwani wanasema wanaendelea na mazungumzo.
kwa haraka haraka inaonekana CHADEMA ni wabinafsi na wanajiona kuwa wao peke yao wanakubalika na hawahitaji ushirikiano na vyama vyengine.
hawa ndio CHADEMA na rangi zao
lipumba ndio mbinafsi kagombea mara tatu zote kashindwa mwambie amwachie slaa kama hawezi aendelee na slaa atawamwaga wote Lipumba na Jeikei wake
jana nilipokuwa nikisoma gazeti la mwananchi na kukuta makala inayozungumzia mikakati ya chama cha CUF katika uchaguzi huu unaokuja.
katika jambo lililonishangaza ni maneno ya Prof Lipumba kuelezea ni kwa nini upinzani usismamishe mgombea mmoja au yeye kumuunga mkono Dr slaa.
alieleza kwa ufasaha kabisa kuwa ilionekana kuwa vyama vyote vya upinzani vilikusudia kutosimamisha wagombea, kwa maana Mzee MRema alionesha mapema kuwa chama chake kinamuunga mkono mheshimiwa Kikwete na yeye binafsi kutangaza kuwa atawania Ubunge jimbo la vunjo. wakati huo huo mheshimiwa Wa WAPUKI(Mbowe) akitangaza kugombea ubunge kwao huko. na Cheyo hali kadhalika.
sasa wao wakasema haiwezekani JK apite hivi hivi bila ya kugombea na hivyo akatangaza nia mapema tu. ila la kushangaza baada ya kutangaza na kujipanga ndipo akina DR Slaa na wengine wakajitokeza sasa anasema imechelewa sana kujipanga kwa hili.
ila kuhusu ubunge na udiwani wanasema wanaendelea na mazungumzo.
kwa haraka haraka inaonekana CHADEMA ni wabinafsi na wanajiona kuwa wao peke yao wanakubalika na hawahitaji ushirikiano na vyama vyengine.
hawa ndio CHADEMA na rangi zao
Jamani, hivi Watanzania ndo tunaelekea huku??

OOh! Kumbe ndio hivyo!Wametumwa kuchafua hali ya hewa usione hivyo mkuu